Category: Siasa
Kinachonifanya nimpende Lowassa, hitimisho
Wakati naandaa makala niliyosema “Kinachonifanya nimpende Lowassa ni hiki” na kuichapisha katika gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita, hayakuwa mategemeo yangu kama makala hiyo ingeigusa jamii kwa kiasi nilichokishuhudia. Nimepigiwa simu nyingi mno, nimetumiwa ujumbe mfupi wa maandishi mwingi, na bado mpaka sasa naendelea kupokea simu na ujumbe!
FASIHI FASAHA
Vyama vya upinzani ni vichanga? -4
Katika sehemu ya tatu ya makala haya wiki iliyopita, nilizungumza uchanga wa vyama vya siasa na malengo yao. Pia niligusia kauli iliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa Uchaguzi Mkuu 1995 kuhusu uwezo wa vyama vya upinzani kushinda katika uchaguzi mkuu wa 2015. Leo tunaendelea…
Hivi tunavyozungumza CCM na vyama vya upinzani kila kimoja kimo katika harakati ya kupanga mipango ya kushinda uchaguzi huo. CCM itafikisha miaka 38 na baadhi ya vyama vya upinzani vitafikisha miaka 23. Hapatakuwa tena na suala la uchanga wala watoto. Labda suala la utoto!
FIKRA YA HEKIMA
Kagame, Museveni, mkataa wengi ni mchawi
Ndoto za Rais wa Rwanda, Paul Kagame, na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kutaka kuzitenga nchi za Tanzania na Burundi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeyeyuka.
Sasa ushindi uko mikononi mwa UTATU MWAMINIFU (Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya).
Kibanda alistahili Tuzo ya Mwangosi
Ni siku ya historia ya pekee hapa Tanzania, siku ambayo mwandishi wa habari Absalom Kibanda na mjane wa Daudi Mwangosi, Itika, wamemwaga machozi mbele ya umati wa waandishi wa habari ukumbini.
MAANDIKO YA MWALIMU NYERERE
Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (6)
Wiki iliyopita tulikuletea sehemu ya tano ya mtiririko wa maandiko ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere juu ya Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania. Katika kitabu alichokiandika mwaka 1994, Mwalimu alisema: “Ati Chama hakiwezi kupinga Bunge lake, lakini kwa mantiki ya ajabu ajabu wabunge wanaweza kupinga chama chao! Hiyo ndiyo demokrasia halisi ya mageuzi. Nilirudi Butiama nikalipa ada yangu ya CCM na nikaandika utenzi wa Tanzania Tanzania!” Endelea…
Jukumu la kueleza taarifa hii ya Serikali katika Halmashauri Kuu ya Taifa aliachiwa Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Mheshimiwa Samuel Sitta. Baadaye, baada ya kikao nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki.
Katiba ya nchi siyo ya CCM
Mhariri JAMHURI,
Nachukukua nafasi hii kwanza kulipongeza Gazeti la JAMHURI kwa kujitolea kuweka wazi kuhusu dawa za kulevya na pia kuhusu uwindaji haramu.
- Tanzania yawataka Wawekezaji wa Kimataifa kuchangamkia fursa
- Nchi 22 za Afrika zakutana Tanzania kubadilishana uzoefu wa mtaala unaozingatia umahiri – Prof. Shemdoe
- Tamasha la Sanaa za ufundi kufanyika mkoani Arusha
- TANESCO yaendelea kuimarisha miundombinu kukabiliana na mvua za El Nino
- THRDC na MAIPAC wanoa waandishi wa mazingira Kanda ya Kati
Habari mpya
- Tanzania yawataka Wawekezaji wa Kimataifa kuchangamkia fursa
- Nchi 22 za Afrika zakutana Tanzania kubadilishana uzoefu wa mtaala unaozingatia umahiri – Prof. Shemdoe
- Tamasha la Sanaa za ufundi kufanyika mkoani Arusha
- TANESCO yaendelea kuimarisha miundombinu kukabiliana na mvua za El Nino
- THRDC na MAIPAC wanoa waandishi wa mazingira Kanda ya Kati
- TANESCO yaeleza mikakati ya kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Nino
- Waziri Akwilapo azindua mpango wa KKK eneo la shamba la Mwakinyumbi Korogwe
- NMB, NM-AIST waunganisha teknolojia na kilimo, vijana 20 kubuni suluhisho
- TANROAD Yaongeza ufuatiliaji wa hali ya barabara kabla ya mvua za El-Nino
- Othman Masoud aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
- OMDTZ yafanikisha mipango ya kukabiliana na mafuriko DAR
- Taka Dar es Salaam zizalishe umeme, matofali
- NSSF yalenga kuwafikia wanachama milioni 5.9 kabla ya 2031
- Vijana Manispaa Tabora walamba mkopo wa mil. 109/-
- Mama Fatma Karume kuzikwa leo Mbweni Zanzibar