Category: Siasa
TLS: Wampa kauli ngumu Rais Magufuli
Makala hii ni sehemu iliyokuwa imebaki wiki iliyopita katika risala iliyohaririwa ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Godwin Ngwilimi, katika maadhimisho ya siku ya Sheria nchini, Endelea………………. Majukumu hayo ni pamoja na kusimamia na kuboresha kiwango cha…
Tusome Ishara za Nyakati Sehemu 2
Wiki iliyopita, makala hii ilianza kuchambua kwa kina baadhi ya mambo yanayotokea katika Tanzania na kuwataka Watanzania kusoma alama za nyakati. Leo, mwandishi anaendelea kuchambua kinachotokea na mwelekeo wa taifa la Tanzania. Endelea… Mungu hawawezi kuja mwenyewe kufanya unabii, la…
TLS: WANASHERIA HATUOGOPI MABADILIKO
Na Mwandishi Wetu Napenda nianze hotuba yangu kwa kuishukuru Mahakama kwa kuweka misingi ya kudumu katika kuadhimisha wiki ya sheria kila mwaka, kwa kufanya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama. Sisi mawakili na wanasheria ni wadau muhimu katika mchakato wa…
Kwaheri Kamanda Mlay
KANALI TUMANIEL NDETICHIA MLAY (1942 – 2018) Nilipata mshituko mkubwa na kushikwa na majonzi pale niliposikia katika simu yangu ya kiganja, Kanali Lameck Meena akisema, “Jambo Sir, umesikia habari za kifo cha Kanali Mlay Sir?” Nilimjibu kwa mshangao, “We…
Tunahitaji Amani Kwenye Kampeni
NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…
JAJI ROBERT KISANGA: NYOTA YA HAKI SAWA ILIYOZIMIKA
Mashaka Mgeta Alikuwa gwiji wa haki za binadamu, mwelekezi wa misingi ya utawala bora, mtetezi wa uhuru wa mihimili ya dola na mpigania haki za watu wanaoonewa; Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Robert Kisanga, amefariki dunia. Januari 23, mwaka…