Category: Uchumi
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (2)
Sehemu ya kwanza, Dk. Felician Kilahama, akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya MCDI, anaeleza ziara yake katika Kijiji cha Nanjilinji ‘A’, akiwa na wajumbe wa Bodi. Pia anaeleza kuwa wafadhili kutoka Shirika la Kimataifa la Kuhifadhi Viumbehai na Mimea Ofisi za Denmark na Tanzania, walikuwapo.
Mfanyabiashara afanya unyama Geita
* Akodi vijana, wavunja nyumba, watembeza mkong’oto
* Baba mwenye nyumba atekwa, atelekezwa porini
* Watu 17 wakosa makazi
Vilio, simanzi na huzuni vimetawala katika Kitongoji cha Shinde, Kijiji cha Buhalahala, Kata ya Kalangalala wilayani Geita, kufuatia familia moja katika eneo hilo yenye watu 17 wakiwamo watoto wachanga, kukosa makazi baada ya makazi yao kubomolewa.
KONA YA AFYA
Vidonda vya tumbo na hatari zake (8)
Wiki iliyopita, tuliona Dk. Khamis Zephania pamoja na mambo mengine, akizungumzia milo mbalimbali ya watu na urithi wa vidonda vya tumbo. Sasa endelea kumfuatilia katika sehemu hii ya nane…
Funga ya Ramadhani, hukumu, fadhila, adabu zake (Hitimisho)
Sheikh Dk. Ibrahim Ghulaam, katika sehemu ya tatu ya makala
haya alielezea kwa kina kuhusu yasiyofunguza na adabu za funga. Sasa fuatana naye katika sehemu hii ya mwisho…
Fadhila za funga
Zimepokewa hadithi nyingi zinazoelezea fadhila za funga ya Ramadhani, miongoni mwa hizo ni zifuatazo:
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (1)
Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ni mojawapo za wilaya chache Tanzania Bara zilizobahatika kuwa na misitu ya asili ya kutosha ikilinganishwa na maeneo mengine nchini. Pamoja na kuwa na rsilimali misitu ya kutosha yenye aina za miti ya thamani sana mfano, mipingo (Dulbergia melanoxylon), Kilwa ni kati ya wilaya maskini nchini.
Tunahitaji ujasiriamali wa mnyororo
Wiki iliyopita wajasiriamali wawili marafiki zangu wa muda mrefu walinitembelea ofisini, mtaa wa Uhuru, mjini Iringa na tukapata wasaa wa kuzungumza kwa kirefu kuhusu mienendo ya biashara katika mazingira ya sasa.
Habari mpya
- Kikwete : CCM si chama cha maneno maneno bali ni chama cha vitendo
- Bei elekezi ya madini ya vito kuchochea ukuaji uchumi – CPA Kasiki
- Viongozi wa dini Kanda ya Magharibi waazimia kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu
- Dkt. Samia apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa DRC
- Oktoba 29 ni siku ya mapumnziko
- Samia: Vijana tulizeni munkari, msidanganywe
- Tanzania yapata nafasi za ajira 50,000 nje ya nchi
- Maaskofu, Masheikh nyandaza juu wahimiza uchaguzi wa amani
- Maafisa Maendeleo ya Jamii Wanawake Songwe wakabidhiwa pikipiki kama vitendeakazi
- Shamrashamra za kampeni za mgombea urais CCM Buza
- Muunganiko wa asasi za kiraia zawashauri wanawake kupiga lura Oktoba 29,2025
- TCCIA kuendelea kutambua fursa za masoko kimataifa
- TRC yafanya uchunguzi wa kina ajali ya treni ya mwendokasi Ruvu
- Samia: NHC imejipanga kujenga makazi bora ya wananchi
- Mgombea udiwani ACT Wazalendo aahidi kuisuka upya Mabale, Misenyi kimaendeleo