Nguvu ya rangi katika biashara zetu

Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja. Miaka michache iliyopita, kampuni moja ya hapa Tanzania ilitambulisha bidhaa zake za juisi zilizokuwa zikifahamika kama “Yebo”. Juhudi kubwa ilielekezwa katika kuitangaza kwa watumiaji. Juisi ile ilikuwa ni ya rangi ya njano na katika matangazo ya kwenye…

Read More