Category: Uchumi
Ujenzi wa Uzalendo si Suala la Mjadala
Wale wanaosikiliza hotuba za Rais John Magufuli, kuna kitu wanakipata mara kwa mara. Sijasikia hotuba yake yoyote akikosa kutaja neno ‘uzalendo’. Amediriki kusema viongozi, akiwamo yeye, watapita lakini Tanzania itabaki; na ili ibaki, Watanzania wote hatuna budi kuwa wazalendo. Rais…
Mafanikio Yoyote Yana Sababu (2)
Kufikiria vizuri ni sababu ya mafanikio. Tazama mbele ufikiri. Papa Fransisko alisema kuna lugha tatu: ya kwanza fikiria vizuri, ya pili hisi vizuri, ya tatu tenda vizuri. Kufikiria vizuri ni msingi wa mafanikio. Kuna aina mbalimbali za kufikiri. Kwanza ni…
Mfuko wa Jimbo ni ukiukaji Katiba
Moja ya hukumu murua kabisa kutolewa na mahakama ya juu kabisa nchini Kenya hivi karibuni, inahusu Mfuko wa Jimbo kwa kutamka pasipo kumung’unya maneno kuwa ni haramu kwa mbunge kugeuka mtendaji wa fedha za umma. Majaji wa Mahakama ya Rufaa…
Maandiko ya Mwalimu Sehemu Maendeleo ni Kazi
Lakini kulipa ni jambo la lazima kabisa, hakuna kusema kwamba atapata madawa ya bure, madawa ya bure yanatoka wapi? Hatuwezi tukasali misikitini na makanisani, tukamwambia , Mwenyezi Mungu, eee, tuletee kwinini, hawezi kuleta kwinini. Sasa hilo ndilo jambo moja ninalitilia…
Tujenge Uzalendo Kupitia Uchumi
Wiki iliyopita nchi yetu imesherehekea miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara). Wakati tunapambana kupata uhuru, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyeongoza harakati hizo, alisema nchi yetu ilikuwa inapambana na maadui watatu; ujinga, maradhi na umaskini. Na alisema ili nchi…
Asante Sana Waziri Mkuu, Uhifadhi Umeshinda
Desemba 6, 2017 itabaki kuwa siku muhimu katika kumbukumbu za kazi nilizopata kuzifanya. Hii ni siku ambayo Serikali, kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ilitangaza ‘kuumaliza’ mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo. Naikumbuka siku hii, si kwa sababu ya kumalizwa kwa…





