Category: Makala
Yah: Dhana ya kujifunza kujiuzulu
Sina hakika kama ningekuwa kiongozi katika maisha yangu iwapo ningeweza kukaa madarakani kwa muda mrefu. Sababu kubwa ni kwamba ninajua maana ya kuwajibika pale ambapo nimekosea au ninayemsimamia amekosea. Kuna hadithi ndefu mgongoni kwangu ya uwajibikaji katika madaraka ambayo nimepata…
Mafanikio katika akili yangu (15)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Ngoja nimtumie barua pepe, ninaona hapatikani,’’ alisema yule mhariri wa makala alizokuwa akituma Noel. Walikuwa hawajawahi kuonana hata siku moja na Noel, Noel alikuwa hajawahi kufika katika ofisi za gazeti hilo. “Fanya mawasiliano…
Amani ya nchi ni muhimu kuliko ushindi wa mtu au chama katika uchaguzi
Wakati nchi inajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu, amani ya nchi ni jambo linalotakiwa kuangaliwa kwa umakini mkubwa. Nchi zetu hizi zinazoitwa za dunia ya tatu, au nchi zinazoendelea, mara nyingi zimetokea kuvuruga amani yake wakati kama huu…
Uamuzi wa Busara (8)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara, tulisoma jinsi wanachama wa Chama cha TANU wanavyojivunia kuimarika kwa chama chao kiasi cha kuvifanya vyama vingine vinavyokipinga kuanza kupukutika. Wiki hii ni mwendelezo wa tulipoishia. Endelea… Kutokana na uamuzi huo…
Ushauri wangu kwa Rais Magufuli
Nikiwa mwananchi ninayeipenda nchi yangu, nimeamua kuchukua muda mfupi kumshauri Rais wangu, Dk. John Magufuli, kuhusu uendeshaji wa nchi yetu. Maana kama anavyoeleza yeye mwenyewe, urais ni kazi ngumu kupita kiasi. Kwa hiyo, kwa wananchi wazalendo wenye kuipenda nchi yao,…
Olduvai inajipanga vipi kutetea hadhi yake?
Uvumbuzi wa mabaki ya watu wa kale uliofanyika sehemu mbalimbali duniani unaweka rehani hadhi ya Bonde la Olduvai ambalo hadi hivi sasa ndilo eneo linalotambulika rasmi kama sehemu ambayo binadamu wa kwanza kabisa duniani aliishi. Licha ya kuweka rehani hadhi…