JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Jamii ihimize utu, ipinge unyama

Makala hii inatudai kufasili maneno utu na unyama ambayo ni sehemu ya anuani. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu iliyotolewa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili – TUKI (sasa, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili – TATAKI), mwaka 1981, utu…

Rais wangu utatukuzwa kwa mema yako (1)

Rais wangu, wako watu wanaosema, ‘dini zamani!’ Wengine wanasema zaidi ya hapo eti ‘hakuna Mungu!’ Haya ni matokeo ya kazi inayofanywa na baadhi ya viongozi wa dini wa kileo. Huko tulikotoka viongozi wa dini walikuwa na uwezo mkubwa hata wa…

Viongozi wa dini, Bunge kupambana na TB

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mtandao Huru wa Wabunge wa Kupambana na Kifua Kikuu Tanzania, mwishoni mwa wiki iliyopita limesaini makubaliano na taasisi za dini kushiriki mapambano ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) unaoua zaidi ya watu…

Mvunja nchi ni mwananchi

Serikali ni chombo cha utawala chenye kusimamia kanuni na sheria za nchi na kuhakikisha zinafuatwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi iliyokubaliwa na wananchi. Chama cha siasa ni chombo cha uongozi, chenye kushughulika na masuala ya kuhamasisha, kuelimisha na kuona…

Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (2)

Historia yangu inakwenda mpaka nilipoanza kuaminiwa kusoma na kuandika katika madaftari na vitabu vikubwa kama mkeka.  Nilivipenda vitabu kwa hadithi zake na kuandika kwa kuchora vizuri na kusifiwa na masista ambao walikuwa walimu wangu. Ni katika kipindi hiki ndipo nilipogundua…

ISHI NDOTO YAKO (1)

Haben Girm ni mwanamke aliyezaliwa akiwa haoni wala kusikia.  Haben Girm alizaliwa katika familia maskini sana.   Haben alipozaliwa akiwa haoni wala kusikia watu walimshauri mama  yake amtupe kichakani. Mama yake alikataa  kata  kata. Mama yake alisema: “Siwezi  kumtupa  mtoto wangu kichakani kisa ni kipofu.”   Haben alikulia katika mazingira magumu…