JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

KIJANA WA MAARIFA (1)

Dunia inatawaliwa na wenye maarifa Tupo katika kipindi ambacho kuwa na maarifa ni jambo muhimu mno. Dunia ya sasa inatawaliwa na watu wenye maarifa. Bila kuwa na maarifa utajiweka katika wakati mgumu sana. Maarifa yatakufanya uongoze kila unapokwenda. Maarifa yatakufanya…

Ana kwa ana na Rais Nyerere (4)

Swali:  Unasema kuwa umma hauna nguvu hasa, hii ni kweli, lakini pia ni hatari kubwa kutoa madaraka kwa umma wakati uongozi hauna imani  na jambo hilo. Mifano ya Obote na Nkrumah na viongozi wengine wa Kiafrika inaonyesha haya wazi. Hii…

Taasisi ya MOI katika kipindi cha miaka 4 ya Rais Magufuli

Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) ni Taasisi pekee bobezi katika matibabu ya Mifupa, ajali, upasuaji wa ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kati. Ikiwa na umri wa miaka 23 Taasisi hii…

MAFANIKIO YA OSHA KATIKA MIAKA MINNE YA JPM

Imetimia miaka minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais, Dk. John Pombe Magufuli, ilipoingia rasmi madarakani.  Sote tutakumbuka kwamba awamu hii ya uongozi iliingia kwa kishindo kikubwa huku ikijipambanua kuwa na nia ya dhati ya kuwainua Watanzania…

Bandari: Rais Magufuli ameweka historia (3)

Wiki iliyopita Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, katika mahojiano maalumu na JAMHURI alizugumzia maendeleo yaliyopatikana katika bandari za maziwa ya Victoria, Tanganyika na Nyasa. Katika sehemu hii ya tatu ya mahojiano hayo…

Ndugu Rais hakuna mkamilifu baba

Ndugu Rais, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere siku zote aliwaita watu wake kwa majina yao wenyewe. Alisikiwa sana. Tujaribu leo, labda tutasikiwa. Palikuwa na mtu katika nchi ya Tanganyika jina lake aliitwa Juliyasi. Mtu huyu alikuwa mkamilifu na…