Category: Makala
Mafanikio katika akili yangu (6)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Unasemaje?’’ aliuliza Mama Noel kisha yule mlevi ambaye alikuwa mteja wake, akamjibu: “Niachie ya elfu mbili.’’ Mama Noel alimkubalia kwa kuwa siku zote mteja ni mfalme. “Haya mimi ninakwenda,’’ alisema mteja huyo huku…
Ufanye nini mali ya wakfu inapotumika vibaya ?
Wakfu ni nini? Sheria ya Mirathi na Usimamizi wa Mali, Sura ya 352 ndiyo sheria inayoeleza masuala yote ya msingi kuhusu habari nzima ya wakfu. Kwa mujibu wa sheria hiyo, Kifungu cha 140, wakfu ni kutoa mali kulingana na sheria za Kiislamu …
NINA NDOTO (39)
Mteja ni mfalme Wiki ya pili ya Oktoba huwa tunaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja. Yawezekana huwa unapokea ujumbe wa kukutakia heri katika wiki hiyo kutoka kwa kampuni mojawapo kubwa ambayo huwa unatumia huduma zake. Nilipokea ujumbe kutoka Vodacom uliosomeka,…
Sekondari ya Nainokanoka: Matunda ya NCAA
Jamii ya wafugaji wa Kimasai ni miongoni mwa jamii zilizo nyuma katika mambo mengi ya kimaendeleo, hasa elimu. Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) kwa kulitambua hilo, imeamua kuwekeza kwa nguvu kubwa kwenye elimu. Kutokana na jiografia ya…
Miaka 20 bila Mwalimu, tumefanya nini?
Tangu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa, aage dunia Oktoba 14, 1999, kila mwaka ifikapo kipindi hicho Watanzania tumekuwa tukiadhimisha kifo chake huku tukishuhudia maneno mengi kwenye vyombo vya habari na kwenye mihadhara na makongamano. Lakini yatupasa tujiulize, kwa…
Ndugu Rais kumpuuza Mwalimu Nyerere inauma sana
Ndugu Rais, sikutaka kuandika lolote kwa kinachoitwa kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kila inapofika Oktoba 14, kila mwaka kwangu huwa ni siku ya kuomboleza na kulia sana. Hii ndiyo siku ya majonzi na simanzi kubwa Taifa…