Category: Makala
Tuwe waungwana baada ya kutimiza wajibu
Binadamu anakula matunda mbalimbali katika mzunguko wa majira ya mwaka, yakiwa ni chakula, kinywaji na tiba katika mwili wake. Baadhi ya matunda hayo ni boga, tikiti na mung’unye. Watanzania wanakula sana matunda haya kujenga siha ya miili yao. Zaidi ya…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (10)
Wiki iliyopita katika sehemu ya 9 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Maskini weee! Nilitaka niondoke haraka, kujaribu kufungua mlango haukufunguka, nikajisogeza pembeni mbali kidogo na kile kitanda. Ghafla nikasikia sauti nyororo masikioni mwangu, ilikuwa sauti ya mrembo na hata wewe rafiki…
NINA NDOTO (29)
Kufanana ndoto si kufana matendo Watu wawili kuwa na ndoto moja haimaanishi kuwa kila watakachofanya kitafanana. Kuna aliyewahi kuimba akisema, “Hata vidole havilingani”. Vyote ni vidole, lakini vinatofautiana kwa urefu. Hata watu ambao tunawaita mapacha wanaofanana bado kuna vitu…
Hotuba ya Rais uzinduzi wa Terminal III Uwanja wa JNIA Agosti 1, 2019
Rais Magufuli: Watanzania tukatae kuitwa maskini Ndugu zangu, nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha leo hapa tukiwa wazima na wenye siha njema. Pia namshukuru sana Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kwa kunialika kwenye hafla hii ya uzinduzi wa…
TPA: Bandari ya Mtwara ni fursa mpya kwa nchi za SADC
Katika makala hii tunakuletea maelezo kuhusu Bandari ya Mtwara, ambayo ni miongoni mwa bandari za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ambazo zipo kimkakati katika kuhudumia soko la nchi za SADC. Bandari hii ya Mtwara inasimamia bandari ndogo ndogo za…
Ndugu Rais tuandalie meza ya maridhiano
Ndugu Rais, tumtangulize Muumba wetu kwa kuwashukuru wachungaji na mapadri wa Dodoma ambao kwa wakati wote wamekuwa wakiniombea uzima wawapo katika sala zao! Nimeisikia sauti yenu na baba yenu wa mbinguni anazipokea sala zenu. Mwenyezi awabariki ili siku moja mje…