JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

MAISHA NI MTIHANI (41)

Mazoea ni shati lililotengenezwa kwa chuma   Mazoea ni mtihani. Mwanzoni mazoea ni kama utando wa buibui, baadaye ni kama nyaya ngumu. Mwanzoni mazoea ni kama shati la pamba, baadaye ni kama shati lililotengenezwa kwa chuma. Shati la namna hiyo…

Shukrani kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Magufuli (1)

Sasa tusaidie wastaafu tunaoambulia Sh laki moja kwa mwezi   Agosti 3, 2019, mimi mkongwe mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) nilibahatika kutokea kwenye vyombo vya habari bila ya kutarajia hata kidogo. Nadhani wengi waliona kupitia runinga nikiwa…

Tuwe waungwana baada ya kutimiza wajibu

Binadamu anakula matunda mbalimbali katika mzunguko wa majira ya mwaka, yakiwa ni chakula, kinywaji na tiba katika mwili wake. Baadhi ya matunda hayo ni boga, tikiti na mung’unye. Watanzania wanakula sana matunda haya kujenga siha ya miili yao. Zaidi ya…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (10)

Wiki iliyopita katika sehemu ya 9 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Maskini weee! Nilitaka niondoke haraka, kujaribu kufungua mlango haukufunguka, nikajisogeza pembeni mbali kidogo na kile kitanda. Ghafla nikasikia sauti nyororo masikioni mwangu, ilikuwa sauti ya mrembo na hata wewe rafiki…

NINA NDOTO (29)

Kufanana ndoto si kufana matendo   Watu wawili kuwa na ndoto moja haimaanishi kuwa kila watakachofanya kitafanana. Kuna aliyewahi kuimba akisema, “Hata vidole havilingani”. Vyote ni vidole, lakini vinatofautiana kwa urefu. Hata watu ambao tunawaita mapacha wanaofanana bado kuna vitu…

Hotuba ya Rais uzinduzi wa Terminal III Uwanja wa JNIA Agosti 1, 2019

Rais Magufuli: Watanzania tukatae kuitwa maskini Ndugu zangu, nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha leo hapa tukiwa wazima na wenye siha njema. Pia namshukuru sana Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kwa kunialika kwenye hafla hii ya uzinduzi wa…