Category: Makala
Kumshitaki daktari aliyesababisha madhara au kifo
Wako watu wengi wameathirika kutokana na matendo yanayotokana na uzembe, kutojali au makusudi ya madaktari. Wapo waliopata vilema vya muda kutokana na uzembe huo, wapo waliopata vilema vya maisha na wapo waliouawa na madaktari. Ajabu ni kuwa ukifanya tathmini ya…
Usiamini uwepo wa uchawi (3)
George Benerd Shaw alipata kuandika haya: “Maendeleo hayawezekani bila mabadiliko ya fikra na wale ambao hawawezi kubadilika namna wanavyofikiri hawawezi kubadili chochote.” Kila kukicha mwanadamu anakabiliwa na zoezi la kufanya uchaguzi fulani. Ulimwengu huu hauna nafasi kwa watu wanaopuuzia maarifa…
MAISHA NI MTIHANI (33)
Makosa ya wengine ni walimu wazuri Makosa ni mtihani. “Inabidi mtu awe mkubwa kiasi cha kukubali makosa yake, makini kiasi cha kuyafaidi na jasiri kiasi cha kuyasahihisha,” alisema R.B. Zuck. Tunajifunza mambo matatu. Kwanza, yule ambaye hakubali makosa yake bado ni…
Demokrasia na haki za binadamu – (2)
Juma lililopita niligusia kuasisiwa kwa demokrasia na kutangazwa rasmi tangazo la haki za binadamu. Leo naangalia baadhi ya changamoto zinazotokana na misamiati hii ya siasa, utawala na haki kwa wananchi wa Afrika. Nathubutu kusema tawala karibu zote duniani zinakiri kuheshimu…
Yah: Mheshimiwa Rais watafute kina Magufuli
Natuma salamu nyingi sana kwako lakini najua inawezekana umekaa katika kiti na umeshika tama ukitafakari mambo yanavyokwenda, unaona mahali ambapo mambo yamekwama na kuna mteule wako yupo yupo, kama nakuona unampa muda wa kujitafakari ajue unataka nini lakini anashindwa, unamtumia…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (2)
Wiki iliyopita makala hii iliishia katika aya iliyosema: “Yule kizee aliyeniweka mlangoni alikuja akataka kunichukua tena anipeleke kusikojulikana. Nilikataa na akawa ananilazimisha nikubaliane naye. Hapana jamani, dunia ya Gamboshi ndiyo hasa ninayopenda kuishi, maisha ya maajabu ndiyo kipenzi cha roho…