JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Kiswahili ni bidhaa ya kuuza nje, walimu changamkeni

Nimeamka nikiwa na furaha sana baada ya kusikia kumbe tunatembea na bidhaa bila kujijua. Ni wachache ambao walikuwa wanajua kwamba Kiswahili ni fedha, hasa ni wale wenzetu  ambao wanatumia mitandao ya kuzunguka duniani wakiwa wamekaa katika viti vyao, sisi huku…

Tujali Polisi na Mahakama

Ni vema tukakumbuka tuna wajibu wa kujali na kuheshimu (kuthamini) vyombo vyetu vya Polisi na Mahakama, ambavyo tumeviridhia kusimamia usalama wetu na kutoa haki. Ni vyombo nyeti katika mustakabali wa maisha yetu, uhuru na amani ya taifa letu. Polisi katika…

Chungeni ndimi zenu

Mtunga Zaburi, Mfalme Daudi aonya hivi: “…Hivyo kiburi kimekuwa mkufu shingoni mwao, jeuri huwavika kama nguo, macho yao hutokeza kwa kunenepa, wameipita kadiri ya mawazo ya mioyo yao. Hudhihaki, husimulia mabaya.  Husimulia udhalimu, kana kwamba wako juu.” Zaburi 73:6-8; Mhubiri…

NINA NDOTO (19)

Uaminifu unalipa   Uaminifu ni tabia ya mtu  kuaminika. Kama watu hawakuamini si rahisi kutimiza ndoto yako. Uaminifu unalipa. Watu wakikuamini ni mojawapo ya hatua kubwa ya kuzifikia ndoto zako. Uaminifu hujengwa, lazima kuna mambo unatakiwa kuyafanya ili watu waweze…

Bandari: Taratibu za kusafirisha mzigo ng‘ambo

Kwa siku za karibuni yamekuwapo malalamiko yasiyo rasmi juu ya wateja kucheleweshewa mizigo inayosafirishwa nje ya nchi, hasa mizigo ya mazao yanayoharibika haraka (perishable goods) kama maparachichi. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeyaona malalamiko hayo kupitia vyombo vya habari ikiwemo…

Kumbukizi miaka 20 bila Mwalimu Nyerere

Tunakosea kuwasifu wakwapuzi   Mei 16, mwaka huu Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) ambacho ni chama cha kitume ndani ya Kanisa Katoliki kiliandaa kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Dhamira ya kongamano…