Category: Makala
Mradi wa Pwani Yetu na mbinu endelevu za uhifadhi wa bahari
Na Stella Aron, JamhuriMedia,Tanga Tanzania ina zaidi ya kilomita 1,400 za pwani pamoja na eneo la uchumi wa bahari lenyeukubwa wa takriban kilomita zamraba 223,000. Rasilimali hiikubwa ya bahari ni msingi muhimu wa shughui za kiuchumi kama vile uvuvi endelevu,…
Mafia yafungua soko huru la mwani, wakulima kunufaika
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, imesisitiza ushindani huru katika soko la mwani ili kumnufaisha mkulima, kuinua pato pamoja na kukuza uchumi wa wilaya hiyo . Kwa mujibu wa takwimu za mwaka wa fedha 2024/2025, mavuno…
Sikoseli si mwisho wa ndoto ya ujauzito, unaweza kujifungua salama
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Ujauzito kwa mwanamke mwenye ugonjwa wa seli mundu (sikoseli) ni safari ya kipekee yenye changamoto kwa mama na mtoto, lakini si jambo lisilowezekana. Dkt. Jamila Makame, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Damu kutoka Hospitali ya…
Zitto awafuata wafanyabiashara na kuomba kura
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiomba kura kwa wafanyabiashara katika soko la mitumba la Mwanga jimboni hapo, mkoani Kigoma, Septemba 18, 2025. Zitto aliambatana na viongozi na wanachama wa chama hicho walipokuwa…
Tanzania, Algeria kushirikiana katika upatikanaji dawa salama
Tanzania na Algeria zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha uhusiano kwenye upatikanaji na uzalishaji wa dawa zenye usalama, ubora na ufanisi katika nchi hizo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Dawa nchini Algeria alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Wizara ya Afya…





