Category: Makala
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania. Hebu…
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Kero ya ombaomba wa London
Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.
- Waandishi wa Oman watembelea UDSM, TBC wapongeza JOWUTA
- Makamu wa Rais akutana na marais wa Misri na Senegal
- Mwinyi: Uislamu unahimiza upendo, amani na umoja
- Dk Samia : Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi za dini
- Prof. Shemdoe awataka wakandarasi wa miradi ya TACTIC kufanyakazi usiku na mchana ili kuikamilisha
Habari mpya

- Wanafunzi milioni 4.2 kufanya upimaji wa kitaifa wa darasa la pili, nne na kidato cha pili
- Dk Mwigulu asimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei wa Kanisa Anglikana Tanzania
- Spika wa House of Commons Uingereza awasili Arusha kushiriki mkutano wa 153 wa IPU
- Waziri wa Ardhi aendelea kukagua maeneo ya uwekezaji nchini
- Waziri Mavunde aagiza mapitio ya mfumo wa tozo kwa wachimbaji wadogo
- Mwigulu amwakilisha Rais ibada ya kuwekwa wakfu kuwa askofu Lundu Tanga
- Masauni awataka kuhama wanaoshi maeneo hatarishi mto Msimbazi
- Dk Homera : Upatikanaji mafuta nchini ni kipaumbele
- RC Makalla awataka ma-DC ofisi zao kuwa kimbilio la wananchi, awaapisha
- CWT yaomba Serikali kulipa madai ya walimu kwa wakati