Category: Makala
Vituko vya Jeshi la Polisi
*Lakodi kina mama ili wawapekue watuhumiwa Kituo cha Polisi Mbuguni, Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kinalazimika kukodi wanawake wanaoishi jirani na kituo hicho ili kuwafanyia upekuzi watuhumiwa wanawake kabla ya kuwaweka mahabusu. Kukodiwa kwa kina mama majirani kunatokana na…
Bilionea akubaliwa kujenga uwanja Serengeti
Mamlaka zote za Serikali zimeridhia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mugumu, Serengeti mkoani Mara.
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika
*Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno
Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini.
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Habari mpya
- Ubalozi wa Tanzania Zimbabwe waadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania
- Polisi tayari kuwavaa Songea United
- CCM yateua wawili kuwania udiwani Tabora
- EWURA yaonesha umoja wa wafanyakazi katika Siku ya Mei Mosi
- Mageuzi ya elimu yashika kasi chini ya Serikali ya Awamu ya Sita
- Wahandisi watatu Bodi la ziwa Tanganyika Kigoma kizimbani kwa uhujumu uchumi
- Rais Samia akiteta na jambo la Waziri Mkuu
- Kabigi awaasa watumishi Tume ya Madini kung’ara kwa weledi
- Marekani yamwekea vikwazo Kabila
- Iran yatuma onyo kali Washington kuhusu vita
- Tanzania, Japan kufungua milango mipya ya uwekezaji sekta ya nishati
- Vijana kujengewa uwezo mabadiliko ya tabianchi
- Rais mstaafu Dk Kikwete ampongeza Mtanzania Ngasuma Eva Kanyeka aliyeng’ara Chuo Kikuu cha Harvard Marekani
- Serikali yachukua hatua dhidi ya utapeli mtandaoni, laini 62,879 zafunguwa – Kairuki
- Waziri wa Fedha, RC Dodoma waangazia fursa za kiuchumi