Category: Makala
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika
*Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno
Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini.
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania. Hebu…
- TANROADS Pwani yabadili ramani ya uchumi kupitia mtandao wa barabara za kimkakati
- Makonda ; CRDB Zongo Mchongo waja na fursa kemkem
- Kamati ya usimamizi wa maafa yaidhinisha mpango wa dharura kukabiliana na madhara ya El Nino
- Msigwa aeleza msimamo wa Serikali kuhusu mikutano ya hadhara
- Masauni: Muungano ni tunu ya taifa isiyopaswa kuchezewa
Habari mpya

- TEA na UNICEF Watekeleza Mradi wa Zaidi ya Shilingi Bilioni 1 wa Ujenzi wa Vituo 10 vya Elimu ya Awali ya Ufundi
- Waziri Mavunde aelekeza usimamizi thabiti wa sheria
- Rais Dkt. Samia ashiriki Mkutano Maalum wa AU kuhusu Afya, Accra nchini Ghana
- Polisi watakiwa kushirikiana na vikundi vya ulinzi
- Serikali yaongeza kasi kuimarisha usalama barabarani
- Balozi wa Tanzania UNESCO akutana na Waziri wa Japan kuimarisha ushirikiano wa urithi wa dunia
- Waziri Ndejembi :Vitongoji vyote Mtwara kufikishiwa umeme
- Vita vya Iran vimeigharimu Marekani dola bilioni 37.5 – Waziri wa ulinzi
- Rais wa Ukraine amtimua Mkuu wa Jeshi, Oleksandr Syrskyi
- Taasisi za umma zatakiwa kuachana na utendaji wa mazoea ili kufanikisha Dira 2050