Category: Makala
Ya Wema Sepetu yanaibua maswali
Uamuzi wa Serikali, kupitia Bodi ya Filamu, kumfungia Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda usiyojulikana kutokana na kuvuja kwa video yake ya ngono ni suala linalozua maswali. Kwanza, nakubaliana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania…
Wanaume washirikishwe uzazi wa mpango
Tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, utoaji wa mimba zisizopangwa na uzazi usiofuata kanuni za uzazi wa mpango umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Matumizi hayo ya njia za uzazi wa mpango yameleta…
Jinsi ya kuwa na fikra kubwa (1)
Waza au fikiri kwa kutumia picha kubwa. Ukiwaza kwa kutumia picha kubwa ni sawa na kuitabiri kesho. Kuiona kesho wakati bado unaishi leo. Watu waliofanikiwa wanajiona baada ya miaka mitano au kumi watakuwa wapi. Je, wewe umewahi kujiuliza tarehe kama…
Ndugu Rais ni nani anaiona kesho yao?
Ndugu Rais, katika kurasa za mwanzo za kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu imeandikwa, ‘’Kila kaya iache kibatali chake kikiwaka. Tumelishauri jua lisitokee mpaka nchi itakaporudishwa kwa wananchi. Nenda katangaze neno hili. Usinitaje, kwaheri!’’ Kila tusomapo maandiko haya hutulia na…
MAISHA NI MTIHANI (1)
Maisha ndio mtihani mgumu sana, kuushinda mtihani huu ni kufanya maisha yavutie. Ukipata kazi mtihani, usipokuwa na kazi mtihani. Ukiwa na pesa mtihani, usipokuwa na pesa mtihani. Kama umesoma sana mtihani, kama haujasoma mtihani. Inasemwa kuwa: “Ukiona elimu ni gharama…
Falsafa na uhai wa taifa, miaka 19 baada ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere (2)
Tujifunze kutoka nchini Uingereza. Nchini Uingereza wananchi wanahimizwa sana kuyasoma maandiko ya mshairi maarufu duniani, William Shakespeare. Waingereza wanafanya hivyo ili kulinda na kudumisha mchango wa mawazo uliotolewa na mshairi huyo katika taifa lake. Wanafanya hivyo pia ili kukirithisha kizazi…