JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Namuomba Rais wetu atafakari ‘huruma’ aliyowapa wamachinga

Hakuna shaka kwamba Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais John Magufuli imefanya mambo mengi mazuri katika kipindi hiki cha miaka mitatu. Yapo pia mengine ambayo anakosolewa, na baadhi ya watu wanasema laiti kama angeyatenda kwa kadiri…

Ahadi ni ukweli na maendeleo

Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote. Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote. Nitasema ukweli daima, fitina kwangu mwiko. Hizi ni ahadi tatu kati ya kumi za mwanachama wa TANU.  Ukizitazama kwa…

Kampeni za Makonda na chenga ya Dk. Mahiga

Kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, za kusaka watu ambao wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja imeibua mjadala mkali wa sheria, tabia, na tafsiri ya vyote viwili. Sheria iko wazi: Ni kosa la jinai kujihusisha…

Kufidiwa hasara

Mtu anaweza kukusababishia hasara katika namna nyingi na katika mazingira tofauti. Mathalani, mtu anaweza kukwangua gari lako, unaweza kumpa mtu kifaa kama pikipiki alete hesabu, badala yake si tu ukashindwa kupata pesa, bali pia na hicho kifaa akaharibu. Mwingine anaweza…

Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (5)

Wiki iliyopita tuliishia katika eneo linaloonyesha kuwa nchini Tanzania hakuna chama kinachoweza kuunda muungano na kikasimamisha mgombea kama walivyotaka wanasiasa wa upinzani mwaka 2015 kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Kwa Kenya, hili linawezekana. Wamelifanya mara kadhaa na limekuwa…

Je, maumivu ya titi ni saratani?

Nakukumbusha tu msomaji wa safu hii kuwa mwezi Oktoba huadhimishwa kwa kuinua uelewa kuhusu saratani ya titi. Hii ni kutokana na kalenda ya magonjwa ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya afya (WHO) kwa lengo la si tu kuinua…