Category: Makala
Utekwaji wa Mo Dewji: Yatakayojiri
Kutekwa na kupatikana kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji (Mo) kutaleta athari kubwa katika mienendo ya maisha ya watu maarufu. Hatuwezi kubashiri iwapo zitakuwa athari nzuri au mbaya. Kwanza, na ambalo litajitokeza mara moja ni kupanda kwa maombi ya umiliki…
Kumpa notisi mtu usiyejua makazi yake
Unatakiwa kumpa mtu notisi lakini haujui anakoishi, hauna pa kumpata, au unajua anakoishi lakini anakukwepa. Wakati mwingine ukienda kwake haufunguliwi mlango au hata ukifunguliwa unaambiwa hayupo. Au yupo umemuona lakini anakataa kabisa kupokea notisi au kuisaini. Unafanya nini katika mazingira kama…
Tanzania itajengwa na wenye moyo!
SIMULIZI YA KATIBU MUHTASI WA MWALIMU NYERERE Jumamosi, Oktoba 22, 1966, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine jijini waliandamana kwenda Ikulu wakiwa na mabango yaliyoandikwa maneno machafu dhidi ya Serikali ya Awamu ya Kwanza…
Mwalimu Kambarage pumzika kwa amani
Oktoba 14, mwaka huu imeangukia siku ya Bwana, yaani Dominika – Jumapili. Imekuwa sasa ni kawaida kwa kila mwaka siku hii Tanzania tuna mapumziko ya kitaifa kumuenzi Baba wa Taifa. Karibu kila gazeti hutoa toleo maalumu la kumbukumbu ya Baba…
Ndugu Rais hakuna makali yasiyo na ncha
Ndugu Rais nimesema mara zote, ‘nchi yangu kwanza’. Hii ndiyo imani yangu ya jana, leo na siku zote. Nitaililia nchi yangu kwa nguvu zangu zote na kuwalilia maskini wa nchi hii bila kuchoka, ndiyo, nitajililia na mimi mwenyewe mpaka siku…
ADARSH NAYAR: Mpigapicha wa Mwalimu
“Nakumbuka nilikuwa mtoto mdogo, nikiwa na miaka zaidi ya 10 hivi, ikatokea siku moja miaka ya 1959 – kabla ya Uhuru, pale kwenye kiwanja cha Dar Brotherhood nikasikia kuna mtu akihutubia. “Nikasogea na kukuta ana kina Kenneth Kaunda pamoja na…
