JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ujenzi wa Uzalendo si Suala la Mjadala

Wale wanaosikiliza hotuba za Rais John Magufuli, kuna kitu wanakipata mara kwa mara. Sijasikia hotuba yake yoyote akikosa kutaja neno ‘uzalendo’. Amediriki kusema viongozi, akiwamo yeye, watapita lakini Tanzania itabaki; na ili ibaki, Watanzania wote hatuna budi kuwa wazalendo. Rais…

Ni Kazi Kumpata Rafiki wa Kweli

Maisha ni urafiki. Mwanafalsafa mwenye asili ya Kiafrika Martin Luther Jr. King alipata kusema hivi, “Ukimya wa marafiki zetu unaumiza kuliko kelele za madui zetu”.  Rafiki wa kweli ni rafiki siku zote. Mwenyezi Mungu ni rafikiwa kweli katika maisha yetu…

Miaka 44 Gerezani

Ni mfungwa wa aina yake nchini. Ameingia gerezani vyama tawala vikiwa ni Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shiraz (ASP). Chama Cha Mapinduzi kimezaliwa mwaka 1977 akiwa gerezani. Amewekwa gerezani wakati ambao Tanzania haikujua kama itapigana na Uganda kwenye vita…

Mafanikio Yoyote Yana Sababu (2)

Kufikiria vizuri ni sababu ya mafanikio. Tazama mbele ufikiri. Papa Fransisko alisema kuna lugha tatu: ya kwanza fikiria vizuri, ya pili hisi vizuri, ya tatu tenda vizuri.  Kufikiria vizuri ni msingi wa mafanikio. Kuna aina mbalimbali za kufikiri. Kwanza ni…

Vidonge vya Uzazi wa Mpango na `Hisia’ za Madhara Yake

Ni kweli, matumizi ya vidonge vya kupangilia uzazi yana madhara? Swali hili nimeulizwa mara nyingi sana na wasomaji wa JAMHURI. Hivyo, leo kupitia makala hii utapata fursa ya kujua kama njia hii ya vidonge vya kupangilia uzazi ina madhara  au…

CCM Ijitenge na Siasa Huria

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetahadharishwa kujiepusha na hulka ya kuwapokea wanachama wanaotoka Upinzani, badala yake kijikite katika siasa za ukombozi zinazogusa ustawi wa maisha ya watu. Mhadhiri katika Idara ya Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),…