Category: Makala
JAJI ROBERT KISANGA: NYOTA YA HAKI SAWA ILIYOZIMIKA
Mashaka Mgeta Alikuwa gwiji wa haki za binadamu, mwelekezi wa misingi ya utawala bora, mtetezi wa uhuru wa mihimili ya dola na mpigania haki za watu wanaoonewa; Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Robert Kisanga, amefariki dunia. Januari 23, mwaka…
KUPATA HEDHI INAYODUMU HADI KWA KIPIDI CHA WIKI MOJA KUNAASHIRIA TATIZO LINALOHITAJI UANGALIZI
Ni kawaida kwa mwanamke aliyepevuka kupata hedhi ya kila mwezi katika mzunguko wake, kutokana na mabadiliko ya homoni ambapo mfuko wa uzazi unatengeneza ukuta mpya kwa ajili ya mapokezi ya utungishwaji wa mimba. Kwa kipindi hicho, mwanamke anapitia siku kadhaa…
MKAA MBADALA UNAVYOCHOCHEA HIFADHI YA MAZINGIRA KILIMANJARO
NA JAMES LANKA, MOSHI Ukataji hovyo wa miti kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa unaotumika na wananchi wengi hasa wa kipato cha chini na cha kati kuwa nishati ya kupikia, unachochea uharibifu wa mazingira katika Mkoa wa Kilimanjaro. Ingawa…
BADO HUJACHELEWA KUSEMA HAPANA KWA SIGARA
Kama ni mvutaji wa sigara, basi pia unapaswa kufahamu ni kwa kiasi gani uvutaji wa sigara ulivyo na madhara kwa afya yako. Nimejaribu kufanya utafiti mdogo ikiwa ni pamoja na kuongea na ‘wavutaji mahiri’ na asilimia 90 ya wavutaji, 45…
GMOS: KIGINGI KWA UFANISI WA KILIMO MANYARA
NA RESTITUTA FISSOO, MANYARA Ni ukweli usiopingika kuwa ili kufikia azma ya Serikali ya kufanya kilimo kuwa biashara, kukuza kipato, matumizi ya sayansi na teknolojia vinahitajika ili kuongeza uzalishaji na tija kwa mkulima. Hata hivyo, teknolojia mpya ya kubadilisha vinasaba…
UAMUZI HUU WA SERIKALI UTAINYONGA ELIMU YETU
Na ATHUMANI KANJU Hivi karibuni, Serikali kupitia Kamishna wa Elimu, Dk Edicome Shirima, ilitoa taarifa kwa umma ikizitaka shule binafsi kuwarejesha mara moja katika madarasa yao wanafunzi waliokaririshwa madarasa ama kuhamishiwa shule nyingine kwa kigezo cha kushindwa kufikia wastani uliowekwa…





