Category: Makala
Yah: Tunajali vyeti na siyo uwezo wa mtu binafsi
Nianze na salamu za mfungo wa mwezi kwa Wakristo wenzangu. Najua lengo mojawapo ni kuombea amani na upendo baina yetu. Najua kwamba wengi wetu tunafaidi hii hali ya utulivu tulionao tofauti na mataifa mengine ambayo wakati mwingine hawajui kesho yao…
AFYA: Usizidharau dalili hizi
Hizi ni dalili mbalimbali zinazojitokeza kwenye miili yetu. Japo zinaweza zisiashirie tatizo, lakini kama ikitokea zinajirudia mara kwa mara ni vyema kupata vipimo na ushauri wa kiafya. Dalili ya kwanza ni udhaifu wa kwenye miguu na mikono kunakoambatana na ganzi….
TLS: Wampa kauli ngumu Rais Magufuli
Makala hii ni sehemu iliyokuwa imebaki wiki iliyopita katika risala iliyohaririwa ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Godwin Ngwilimi, katika maadhimisho ya siku ya Sheria nchini, Endelea………………. Majukumu hayo ni pamoja na kusimamia na kuboresha kiwango cha…
Mafanikio Yoyote Yana Sababu (9)
Na Padre Dk Faustin Kamugisha Nia ni sababu ya mafanikio. Penye nia pana njia. Mtazamo wa “lazima nifanye kitu,” unatatua matatizo mengi kuliko mtazamo wa “kitu fulani lazima kifanyike.” Mtazamo wa kwanza una nguvu ya nia. “Nia yetu inaumba…
Tusome Ishara za Nyakati Sehemu 2
Wiki iliyopita, makala hii ilianza kuchambua kwa kina baadhi ya mambo yanayotokea katika Tanzania na kuwataka Watanzania kusoma alama za nyakati. Leo, mwandishi anaendelea kuchambua kinachotokea na mwelekeo wa taifa la Tanzania. Endelea… Mungu hawawezi kuja mwenyewe kufanya unabii, la…
Benedict Rasha Ndiye Aliyegundua Kuungua kwa Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka
Na Albano Midelo Benedict Mapunda (Rasha) mwenye umri wa miaka 66 mkazi wa kijiji cha Ntunduwaro ndiye aliyegundua kuungua moto kwa mgodi wa madini ya makaa ya mawe Ngaka uliopo Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma mwaka 2006. Inakadiriwa moto…





