Category: Makala
Matumizi ya Gypsum Kwenye Ujenzi Yanazua Hofu
Mwaka 2011 nililala kwenye hoteli ya mjini Moshi, chumba kilirembwa na dari iliyonakshiwa kwa jasi inayojulikana zaidi kama gypsum. Ilikuwa ni jasi iliyokaa muda mrefu na ilikuwa inapukutika kwa urahisi. Siku iliyofuata niliiugua, nikapatwa na homa kidogo na mafua, ingawa…
Prof. Kairuki Anaishi Baada ya Kifo
Na Mwandishi Wetu Februari 6, mwaka 2018 ilitimia miaka 19 tangu Prof. Hubert Kairuki alipofariki dunia. Katika kipindi kama hicho, wapo maprofesa wengi waliofariki hapa nchini na nje ya nchi siku hiyo. Ni kwa bahati mbaya kuwa siku walipofariki…
TLS: WANASHERIA HATUOGOPI MABADILIKO
Na Mwandishi Wetu Napenda nianze hotuba yangu kwa kuishukuru Mahakama kwa kuweka misingi ya kudumu katika kuadhimisha wiki ya sheria kila mwaka, kwa kufanya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama. Sisi mawakili na wanasheria ni wadau muhimu katika mchakato wa…
Kwaheri Kamanda Mlay
KANALI TUMANIEL NDETICHIA MLAY (1942 – 2018) Nilipata mshituko mkubwa na kushikwa na majonzi pale niliposikia katika simu yangu ya kiganja, Kanali Lameck Meena akisema, “Jambo Sir, umesikia habari za kifo cha Kanali Mlay Sir?” Nilimjibu kwa mshangao, “We…
DALILI ZA SHAMBULIO LA MOYO
Kinga ni bora kuliko tiba. Mara nyingi magonjwa mengi yanahatarisha afya zetu kwa kutoziweka maanani dalili zake. Bila shaka makala hii leo itakusaidia katika kuzitambua dalili zinazoashiria shambulio la moyo na kuwahi kuwaona wahudumu wa afya. Uchovu usio wa kawaida Uchovu…
Tunahitaji Amani Kwenye Kampeni
NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…





