JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

DAWA BANDIA TISHIO AFRIKA

NA MTANDAO Ongezeko la biashara ya dawa bandia limekuwa janga kubwa barani Afrika linalokua kwa kasi, huku ikiripotiwa kusababisha vifo vya watu wapatao 100,000 kwa mwaka. Utafiti uliofanywa na Shirika la Kimarekani linalojihusisha na dawa za magonjwa ya tropiki, limesema…

MATATIZO YANAPOZIDI UKOMBOZI UNAKARIBIA

Na William BHOKE Aliyewahi kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Yohane Paul I, amewahi kusema, “Eee Bwana nichukue nilivyo, lakini unifanye niwe kama unavyotaka wewe.” Kama wewe unapumua, kuwa na matatizo ni kanuni ya maisha. Matatizo katika maisha ni…

Rushwa ni Wizi, Dawa Yake ni Uwazi

“Rushwa ni wizi wa fedha za umma”. Hivyo ndivyo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki, Roeland van de Geer, anavyotaka Watanzania waielewe rushwa. Rushwa, kwa mujibu wa Balozi Geer, ni chanzo kikubwa cha…

Pombe Hii Imekorogwa na Upinzani Wenyewe

  Kama kuna wakati viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamefaidi usingizi wa pono, itakuwa ni wakati huu. Kila kukicha tunasoma habari za kiongozi mmoja au mwingine akihama kutoka chama cha upinzani na kujiunga CCM. Wengi wao ni…

Barua ya Wana Moshi kwa Rais John Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli, barua yetu inahusu BOMOA BOMOA YA RAHCO KATIKA ENEO LA PASUA BLOCK JJJ ILIYOSABABISHWA NA MGONGANO WA MAMLAKA MBILI ZA SERIKALI. Mheshimiwa Rais, kwanza tunapenda tuchukue fursa hii…

Ukikata Tamaa, Palilia Matumaini

Usikate tamaa, jua linapozama, nyota na mwezi vinachomoza, kuwa na matumaini. Alexander the Great alipokuwa anafanya kampeni aligawa zawadi mbalimbali kwa rafiki zake. Katika ukarimu wake karibu alitoa kila kitu alichokuwa nacho. Rafiki yake alimwambia: “Bwana hutabaki na kitu chochote.”…