Category: Makala
Hivi hadi leo hatujamwelewa Magufuli?
Kwanza naomba nitumie fursa hii kuungana na wazazi, ndugu, jamaa na Watanzania wote kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na watoto wetu – wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha – katika ajali iliyotokea Karatu. Taarifa ya awali iliyotolewa…
Nakutambua, nitambue
Jina langu ni Nani. Umri wangu ni zaidi ya karne ishirini na moja. Nimeumbwa kwa udongo na maji. Ninaye ndugu yangu, majirani na marafiki. Nimejaaliwa kupata watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe. Niko ulimwenguni. Nimekula chumvi nyingi na kuona mambo mengi….
Yah: Mei Mosi sherehe ya utumishi au kusubiri ongezeko la mshahara
Leo naandika waraka huu kwa mara ya kwanza kuwakumbuka akina pangu pakavu kauka tukuvae, kila mwaka tarehe hii ya mwanzo wa Mei huwa ni hatima ya furaha ya mfanyakazi yeyote, wengi huishiwa na amani na furaha na wapo ambao hujaa…
Mwanamke aliyetelekezwa na mume afanye nini kisheria
Kutelekezwa ni pamoja na kunyimwa huduma za muhimu ambazo kama mke alistahili kupata. Huduma muhimu ni kama chakula, mavazi, makazi, matibabu, hela ya kujikimu kwa matumizi ya kawaida ya mwanamke, pamoja na kila hitaji ambalo kama mwanamke alitakiwa kulipata. Ifahamike…
Mheshimiwa Kairuki uhakiki haujakamilika
Mwishoni mwa juma lililopita, Rais John Magufuli, alipokea taarifa ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma wakati wa hafla iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma. Ropoti iliwasilishwa kwake na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma…
‘Woga ndio silaha dhaifu kuliko zote’
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, amezungumza jambo la maana sana. Amewataka wananchi wasilalame tu, badala yake wachukue hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki pale unapojitokeza. Amewataka watumie vyombo kama Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora…