Category: Makala
Paulo Sozigwa hakustahili kutendewa namna ile (2)
Mzee Sozigwa alikwisha-tekeleza alichoambiwa. Ilikuwa wajibu wa ofisa wa Ikulu kumshughulikia ipasavyo. Kama kweli wahusika wamezi-misplace zile nyaraka humo humo ofisini mwao, basi wao wawajibishwe lakini siyo mzee wa watu alaumiwe na kudaiwa apelike nyaraka hizo. Waingereza wanaita hali hiyo…
Wiki ya Mazingira Butiama yaibua changamoto lukuki
Juni Mosi hadi 4, mwaka huu Serikali iliadhimisha Wiki ya Mazingira Duniani kijijini Butiama ikiwakilishwa na kuongozwa na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, ambaye ofisi yake ndiyo ina jukumu la kusimamia masuala ya mazingira nchini. Ni wiki iliyosheheni…
Kuzishitaki kampuni za madini kurejesha hasara tuliyopata
Mikataba yote ya kimataifa huongozwa na wajibu wa aina mbili. Wajibu ulioandikwa (express obligation) na wajibu ambao haukuandikwa (implied obligation). Wajibu ulioandikwa ni masharti yote ya mkataba yaliyo katika maandishi ambayo wahusika husoma na kuridhia, wakati wajibu usioandikwa ni masharti…
Buriani Mzee Kitwana Selemani Kondo ‘KK’
Jumatano Mei 24, 2017 ni siku ambayo itakumbukwa na Watanzania wengi na hasa Waislamu, kwa kuondokewa na mzee wetu, Alhaj Kitwana Selemani Kondo, maarufu KK au mzee wa mjini. Siku nne kabla ya kifo chake, mwanaye wa kiume, Adnan Kitwana…
Ndugu Rais nionyeshe hata ukurasa mmoja usio na makosa…
Ndugu Rais Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi alitupiwa kitabu cha Kingereza kilichochapwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) mezani pake kisha akaulizwa; “Nionyeshe hata ukurasa mmoja tu ambao hauna makosa katika…
Mwalimu Nyerere niliyemjua (5)
Kwa uzito wa busara kubwa iliyotumika katika salamu hizo za rambi rambi na kwa kuogopa kupotosha uzito huo nalazimika kuziwasilisha kwa lugha hiyo hiyo ya kiingereza kama ifuatavyo; “For the men and women who have served the great cause of…