Category: Makala
Ngoma inakesha, isizimwe
Siku zilizopita, niliwahi kuzungumzia nafsi inavyoweza kutenda mambo mema au mabaya kutokana na binadamu anavyotaka. Naweza kusema kwa vile binadamu ameumbwa akiwa na silika; hali ya kujitambua na anapata uwezo wa kufanya lolote atakalo. Nafsi ni roho. Nafsi inayochungwa na…
Namna ya kuijua hati halisi kabla hufanya manunuzi
Ni wangapi wamefanyiwa utapeli katika harakati za kununua viwanja au nyumba. Ni wangapi wamepata hasara kubwa kutokana na michezo ya utapeli iliyotamalaki katika ardhi nchini. Ni kesi ngapi ziko mahakamani zinazohusisha utapeli katika mauzo na manunuzi ya ardhi. Idadi ni…
Watanzania mbona tunalumbana hivi? Tatizo liko wapi?
Kutolewa kwa ripoti ya kwanza ya makinikia kulizua mjadala mkali miongoni mwa Watanzania; kutolewa kwa ripoti ya pili kumemwaga mafuta ya taa kwenye moto uliyowashwa na mjadala uliotangulia. Kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi uliofanywa na kamati ya rais iliyoteuliwa…
Ufafanuzi muhimu kuhusu usajili wa Acacia
Kwa kutumia kigezo cha usajili, Tanzania tunazo aina kuu mbili za kampuni. Kampuni za ndani (local companies) na kampuni za kigeni (foreign companies). Kampuni za ndani ni zile zilizoanzishwa hapa nchini na kusajiliwa hapa nchini. Hata kama wanahisa wake wote…
Ndugu Rais mwenda mwenye busara huongozwa na alikotoka
Ndugu Rais, tangu tulipojipatia Uhuru kutoka kwa wakoloni, zimepita awamu nne. Hii tuliyomo ni awamu ya tano. Kama nchi tumo katika mwendo. Hivyo ni busara kwetu kugeuka na kutazama nyuma kuzichambua zile awamu nne ambazo tumepitia ili tupate kuihukumu awamu…
Maendeleo hayaji kwa kuchekeana
Bajeti Kuu ya Serikali tayari imesomwa bungeni Dodoma. Imesheheni mambo mengi. Wataalamu wa uchumi wamejitokeza kusema waliyoyaona. Wapo wanaopongeza, kadhalika wapo wanaoikosoa. Wakosoaji wanahoji ukubwa wa tarakimu za bajeti hiyo. Wanasema kama iliyopita imeyekelezwa kwa kiwango kisichozidi asilimia 50; kwanini…