Category: Makala
Tujisahihishe – 1
Umoja wa kundi lolote ni sawa sawa na umoja wa viungo mbalimbali vya mwili au mtambo. Viungo vya mwili havina budi vitii kanuni zinazoviwezesha kufanya kazi yake sawa sawa. Lakini haviwezi kutiii kanuni hizo kama haviko katika hali ya afya…
Muhimu kuadhimisha miaka 50 ya Azimio la Arusha?
Kujisaili na Kujisahihisha: Mafunzo ya Watu wa Cuba juu ya Kutupwa kwa Azimio la Arusha “Ujamaa utabaki kuwa tumaini na njia pekee kwa wanyonge kujikomboa. Leo, wakati maadui wa Ujamaa wakieneza propaganda dhidi ya Ujamaa, tunapaswa kuulinda na kuutetea zaidi…
Mgogoro wa Israel na Palestina -13
Tumeona katika utangulizi wa makala hii ndefu ya kwamba wakati mipango ya Serikali ya Uingereza kwa ajili ya hali ya baadaye ya Serikali Palestina iliposhindwa kufua dafu dhidi ya kampeni ya Wazayoni ya Mabavu, mnamo 1947 iliamua kulikabidhi suala hili…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 40
Miti: Taratibu zinakiukwa Upigaji marufuku baadhi ya vifaa vya uvuvi 709. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mfumko mkubwa wa wafanyabiashara wengi wa samaki baharini na kwenye maziwa yetu. Hivyo wafanyabiashara huajiri vijana wa kuwavulia samaki kwa kutumia makokoro…
Ndugu Rais bao la mkono linakata huku na huku
Ndugu Rais ni kipi ambacho hatujawahi kuandika hapa katika kushauri, kutahadharisha au kuonya? Wanawema wakasema huyu ni nabii wengine wakasema ni mtabiri, lakini tukawaambia ya kwamba hesabu sahihi za mcheza bao hodari majibu yake ni yale yale ya nabii au…
Wakenya wajue funguo za Bologonja ziliondoka na Mwalimu Nyerere
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kwa kusaidiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Mfaume Taka, wameendelea na sanaa yao Loliondo. Wameandika ripoti ndefu iliyojaa hadaa na kuipeleka kwa Waziri Mkuu wakitaka kumwaminisha kuwa ndio makubaliano ya wadau waliounda…