Category: Makala
Siasa ya maendeleo inahitajika
Vyama vya siasa nchini, kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano bila kujali itikadi za vyama vyao, jambo linaloweza kuleta tija kwa Taifa. Akizungumza na JAMHURI, Mbunge wa Afrika Mashariki, Twaha Taslima, amesema nchi nyingi za…
Watetezi wa uhifadhi wasichoke
Kwa mwongo zaidi ya mmoja, nimekuwa miongoni mwa waandishi waliosimama kidete kutetea uhai wa wanyamapori na misitu. Mathalani, tumeamini kuwa bila Loliondo, Hifadhi ya Taifa Serengeti (SENAPA) haipo! Bila Loliondo, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) haipo; wala Masaai-Mara iliyopo…
Yah. Kazi ni utu, kaulimbiu iliyotuchoma sana ujanani
Thamani ya binadamu yeyote inabebwa na dhana ya utu alionao, na utu wa muungwana yeyote ni kufanya kazi kama kipimo cha utu wake. Wapo wanaofanya kazi zisizo rasmi lakini zinawaingizia kipato na wapo wanaofanya kazi rasmi na haiwaingizii kipato, thamani…
Madereva wa bodaboda kujitambua, ni heko
Natoa kongole kwa madereva wa bodaboda wa kituo cha Mbuyuni, Tegeta, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, kwa uamuzi wao wa kudhibitiana na kupangiana utaratibu mzuri kutii na kufuata Sheria za Usalama Barabarani, kama walivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya…
Vita dawa za kulevya si ndogo
Nakubaliana na kauli ya viongozi, ikiwa ni pamoja na ya Rais John Magufuli, kuwa vita dhidi ya dawa za kulevya si jambo dogo. Alitamka: “Hii ni vita kubwa na siyo suala la mzaha. Ni lazima tuisimamie kwa nguvu zote.” Ni…
Mwenye nyumba ana hatia ikiwa mpangaji anahusika na dawa za kulevya
Wenye nyumba hawako salama ikiwa wapangaji wao ni wahusika wa dawa za kulevya. Ni muhimu kulijua hili ili kujihadhari na kile kinachoweza kukuletea madhara. Sheria mpya ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya – ‘The Drug Control and Enforcement Act,…