Category: Makala
Mkuu wa Wilaya, OSHA wajitosa kemikali Geita
Siku chache baada ya JAMHURI kuripoti tukio la watu wawili kuathiriwa na kinachodhaniwa kemikali mkoani Geita, hali za waathiriwa wa kemikali hizo wameanza kubabuka ngozi. Wananchi hao wakazi wa kitongoji cha Kiomboi, kijiji cha Iririka kata ya Nyarugusu mkoani Geita,…
Amri hizi ni za uonevu
Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kadhaa wamepiga marufuku matumizi ya nafaka kutengenezea pombe. Wengine wameenda mbali zaidi kwa kuwaamuru wakulima kutouza mahidi mabichi. Mwishoni mwa mwaka juzi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipiga marufuku matumizi ya chakula cha msaada…
Yah: Muungano ni kwa maendeleo si utumwa
Marekani ni muungano wa majimbo makubwa mengi ambayo yangeweza kuwa nchi kama ilivyo kwa nchi ndogo za Afrika, lakini majimbo yale ndiyo yanayofanya taifa moja la Marekani lenye nguvu duniani kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, kiteknolojia na kadhalika. Siri kubwa ya mafanikio ya…
Haki na batili zinavyojenga figisufigisu nchini
Kumbukumbu zangu hunikumbusha na kunielekeza kwamba vitu vina jozi, maumbo yana pande mbili na majambo yana sehemu mbili – ziwe zinafanana au hazifanani, ziwe hasi au chanya, jibu kamili ni mbili. Mathalani, kuna mbingu na ardhi, usiku na mchana, ukweli…
Elimu ni ufumbuzi wa changamoto za uongozi, maendeleo
Tunaposikia kauli za viongozi kuwa uongozi wa nchi ni changamoto kubwa sana, siyo rahisi kwa wengi wetu kuelewa. Haihitaji kufanya utafiti wa kina kukubali ukweli huo. Uongozi ni mzigo mkubwa, alisema Mwalimu Julius Nyerere. Akifafanua, alisema rais anapokuwa pale Ikulu…
2017 mwaka wa machungu
Nitumie fursa hii kuwatakiwa Heri ya Mwaka Mpya Watanzania wote, ikiwa ni pamoja na kuwapa pole wale wote waliopatwa na misukosuko ya hapa na pale. Pamoja na salamu hizo za Mwaka Mpya, nasikitika kuanza mwaka huu mpya wa 2017 kwa…