Category: Makala
Si kila msaada lazima upokewe
Ndugu zangu waandishi wa habari katika Mkoa wa Arusha, wameahidiwa ‘zawadi’ ya kufungia mwaka 2016 na kufungulia mwaka 2017. Wameahidiwa msaada wa pikipiki mbili! Sina hakika, ni pikipiki za aina gani, lakini kama ni miongoni mwa hizi zinazosambazwa na uongozi…
Yah: Naota ndoto ya siku tano…
Siku ya kwanza naamka asubuhi naona jua limechomoza, nimechoka akili na mwili kwa kazi ngumu na nzito kwa maendeleo ya kaya yangu. Nawaangalia wanangu na Mama Chanja hali kadhalika wamesawajika kwa kilichotokea. Hakuna uchawi wala mazingaombwe ni uwajibikaji wa nguvu…
Mchele una chuya na chenga
Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi wa kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima wa maisha ya jamii hiyo. Aidha, ni mbinu ya utekelezaji au uendeshaji wa jambo kwa kutumia busara na hekima ili kufikia…
Mila na desturi za Wazanaki: faida za kibanziko
Kuna baadhi ya mila na desturi tulizorithishwa na wazee wetu tunaambiwa hazifai. Lakini zipo mila na desturi ambazo zinaweza kuchangia kuimarishwa kwa mahusiano ndani ya jamii. Mojawapo ya desturi hizo kwa kabila la Wazanaki ni wimbo unaojulikana kama kibanziko. Mzee…
Ndugu Rais utapimwa kwa uwezo wako wa kuleta mabadiliko!
Ndugu Rais, katika Uchaguzi Mkuu uliopita Watanzania katika ujumla wao walitaka mabadiliko. Kwa kushupalia mabadiliko, mgombea Edward Ngoyayi Lowassa aling’ara kuliko wagombea wenzake wote! Washabiki wake wengi walimtaka kwa sababu tu aliongea lugha waliyoitaka kuisikia, ya kuwaletea mabadiliko! Imani ya…
Vita ya wakulima, wafugaji ni janga
Nianze makala kwa kumshukuru Mungu ambaye kwa huruma yake anatujaalia afya njema katika maisha yetu ya kila siku. Tangu tupate Uhuru Desemba 9, 1961 hadi sasa, nchi yetu imekuwa na sifa kubwa ya Watanzania kuishi kwa utulivu na amani. Kusema…