JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Nimeziona barabara, hii ya Butiama ni janga!

Watanzania wangependa kuona kazi nyingi za ujenzi wa barabara zikifanywa na mandarasi wazalendo.  Rais John Magufuli, akiwa Waziri wa Ujenzi, alikuwa mstari wa mbele kuhimiza umoja, weledi na kujituma miongoni mwa makandarasi wazalendo ili waweze kufanya kazi ambazo kwa muda…

Yah: Mheshimiwa Rais Magufuli, hawa ndiyo Watanzania niwajuao

Anaamka asubuhi kama mbwa koko anayefikiria siku hiyo itaishaje na rizki yake iko miguuni mwake, ni sala tu ya Muumba wake kumuamsha akiwa na siha njema pasi na maradhi ya kumlaza kitandani. Ni Mtanzania mwenye haki zote za kibinadamu; ana…

Dhana pacha, busara na hekima

Busara na hekima ni maneno mafupi na mepesi kutamkwa na mtu yeyote. Lakini ni mapana na mazito katika kuyatambua, kuyahifadhi na kuyatumia kama nyenzo ya kumfikisha mtu kwenye malengo na makusudio yake kwa jamii. Maneno haya, kila moja lina herufi…

Yatakayomkwamisha Rais Magufuli… (1)

Rais John Magufuli, ni Mwenyekiti wa tano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni Mwenyekiti mpya ndani ya chama kile kile. Ashakum, nadhani unaweza kusema ni mvinyo ule ule ndani ya chupa mpya. Upya wa chupa hauugeuzi mvinyo uwe mpya. Dk….

Tafakuri ya miaka 20 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania

Mengi yamesemwa katika miezi minane iliyopita juu ya mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dk. John Pombe Magufuli (JPM) katika ukusanyaji wa kodi. Mara tu baada ya JPM kuchukua hatamu za uongozi tulishuhudia hatua mbalimbali zikichukuliwa baada…

Serikali za Mitaa ndio injini ya maendeleo

Mada ya Mzee Zuzu wa Kijiji Kipatimo juu ya: “Kuhamia Dodoma itawezekana kwa siasa zetu?” Naandika kuhusu maoni yako uliyotoa katika Gazeti la Jamhuri (Augusti 2 – 8, 2016). Umesema kwamba unakubaliana na dhana ya kuhamishia Makao Makuu ya Serikali…