Category: Makala
Mkulima ni uti wa maisha
Mimi si mkulima. Babu na baba yangu walikuwa wakulima. Kadhalika bibi na mama na hata leo baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zangu kule kijijini kwetu ni wakulima. Ndiyo ajira yao kuu inayowapatia riziki, mavazi na makazi. Wanasiasa na wanauchumi wanasema…
Tusipojihadhari, njaa yetu itatuangamiza – 2
Miongoni mwa jamii ya kimataifa, nchi inapojiuliza watu wangu watakula nini leo, basi kwa kiasi kikubwa inapaswa kujibu hilo swali yenyewe na kutafuta suluhisho yenyewe. Yanapotokea majanga yanayoathiri uwezo wa nchi kuzalisha chakula cha kutosha, upo utaratibu wa muda mfupi…
Namna ya kurasimisha biashara yako ili ukopesheke
Kurasimisha biashara kuna namna nyingi. Kufungua kampuni ni moja ya namna ya kurasimisha biashara. Kusajili jina la biashara nayo ni namna nyingine ya kurasimisha biashara. Makala hii itazungumzia kusajili jina la biashara. Na hii ni kwa sababu hii ni njia…
Hivi tumerogwa na nani?
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazosifika kwa kuwa na umoja na amani, tofauti na nchi nyingi katika Bara la Afrika na dunia kwa ujumla. Nchi yetu imekuwa na amani kiasi cha Watanzania kuchoshwa na amani hii inayoliliwa na wenzetu hadi kuanza…
RATIBA YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA
Mheshimiwa Spika, ili kufanikisha azma ya Serikali kuhamia Dodoma, tayari imeandaliwa ratiba itakayowezesha Serikali kuhamia Dodoma kwa awamu, kuanzia mwezi Septemba, 2016 hadi mwaka 2020, bila ya kuathiri bajeti yetu ya mwaka 2016/2017 kama ifuatavyo: Kwanza: Awamu ya Kwanza itakuwa…
Ndugu Rais liondolee Taifa aibu hii!
Ndugu Rais ulipoingia tu madarakani uliwaambia masikini na wanyonge wa nchi hii kuwa nchi yao hii ni tajiri sana, hata inaweza kuwa mfadhili wa kuzifadhili nchi masikini. Lakini kwa uchungu ukasema nchi hii imeliwa vibaya mno kwa muda wa miaka…