Category: Makala
Kifo cha Mwalimu: Rais Magufuli amewafuta machozi wengi
Wiki hii Watanzania na watu wa mataifa mbalimbali duniani, tunafanya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere ni miongoni mwa binadamu wachache ambao ni vigumu mno kuwaelezea. Tena basi, ni wachache wanaoweza kusimama na…
Yah: Usalama wa Watanzania ni suala la kila Mtanzania
Ni dhahiri kuwa sasa kila mtu anajua haki za msingi za kuweza kuishi maisha ya furaha na amani ndani ya nchi yetu bila kujali tofauti zilizopo katika dini, kabila, jinsia na hata umri. Hii ni tunu ambayo tunapaswa kuiendeleza kwa…
Katiba ni sheria ni ukweli
Naamini pasi na mashaka ukweli hauna mahaba na baba, mama, ndugu au rafiki wala hauna hiyana na adui. Ni neno linalojipambanua ni pekee katika mazungumzo na vitendo. Ukweli una tabia ya kulipa na kutoficha uongo, uovu, wema au uadilifu. Sheria…
Tutumie mitandao kwa faida
Katika orodha ya uvumbuzi muhimu katika karne ya ishirini hakuna ubishi kuwa mtandao wa Intaneti utakuwa miongoni mwa uvumbuzi muhimu zaidi kwenye orodha hiyo. Kupitia matumizi ya mtandao, binadamu wameweza kuharakisha kasi ya maendeleo kwa kiasi kikubwa si tu kwa…
Yatakayomkwamisha Rais Magufuli – 4
‘Uongozi ndiyo unaozaa utawala’ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji vitu vinne – watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Utandawazi umetuletea wimbo mpya unaosisitizia utawala bora. Wazungu wametupotosha kwa mara yanyingine, wametuaminisha kwamba tunaweza kuwa na…
Majibu: Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo (1)
Tafadhali rejea mada yangu ya “Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo”uliyoitoa katika Gazeti la JAMHURI la tarehe 6 – 12, 2016. Nilipata maoni kutoka kwa wananchi na wasomaji wako kadhaa. Wengi wao walikubaliana na fikra za mada husika. Hata…