JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Utii huu ni mwanzo wa mkuu kuheshimu utawala wa sheria

Kuna mtu mmoja aliniambia kuwa sasa hivi ukitaka kutukanwa tangaza kutoa rushwa kwa mtu yeyote, kuna watu waliokuwa wamezowea kupokea milungula kila siku na sasa hivi wanaogopa kama vile moto wa jehanam, hawataki kusikia kitu kiitwacho rushwa. Sikutarajia hata siku…

Mkulima ni uti wa maisha

Mimi si mkulima. Babu na baba yangu walikuwa wakulima. Kadhalika bibi na mama na hata leo baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zangu kule kijijini kwetu ni wakulima. Ndiyo ajira yao kuu inayowapatia riziki, mavazi na makazi. Wanasiasa na wanauchumi wanasema…

Tusipojihadhari, njaa yetu itatuangamiza – 2

Miongoni mwa jamii ya kimataifa, nchi inapojiuliza watu wangu watakula nini leo, basi kwa kiasi kikubwa inapaswa kujibu hilo swali yenyewe na kutafuta suluhisho yenyewe. Yanapotokea majanga yanayoathiri uwezo wa nchi kuzalisha chakula cha kutosha, upo utaratibu wa muda mfupi…

Namna ya kurasimisha biashara yako ili ukopesheke

Kurasimisha biashara kuna namna nyingi. Kufungua kampuni ni moja ya namna ya kurasimisha biashara. Kusajili jina la biashara nayo ni namna nyingine ya kurasimisha biashara.  Makala hii itazungumzia kusajili jina la biashara. Na hii ni kwa sababu hii ni njia…

Hivi tumerogwa na nani?

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazosifika kwa kuwa na umoja na amani, tofauti na nchi nyingi katika Bara la Afrika na dunia kwa ujumla. Nchi yetu imekuwa na amani kiasi cha Watanzania kuchoshwa na amani hii inayoliliwa na wenzetu hadi kuanza…

RATIBA YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA

Mheshimiwa Spika, ili kufanikisha azma ya Serikali kuhamia Dodoma, tayari imeandaliwa ratiba itakayowezesha Serikali kuhamia Dodoma kwa awamu, kuanzia mwezi Septemba, 2016 hadi mwaka 2020, bila ya kuathiri bajeti yetu ya mwaka 2016/2017 kama ifuatavyo: Kwanza: Awamu ya Kwanza itakuwa…