Category: Makala
Dhana pacha, busara na hekima
Busara na hekima ni maneno mafupi na mepesi kutamkwa na mtu yeyote. Lakini ni mapana na mazito katika kuyatambua, kuyahifadhi na kuyatumia kama nyenzo ya kumfikisha mtu kwenye malengo na makusudio yake kwa jamii. Maneno haya, kila moja lina herufi…
Yatakayomkwamisha Rais Magufuli… (1)
Rais John Magufuli, ni Mwenyekiti wa tano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni Mwenyekiti mpya ndani ya chama kile kile. Ashakum, nadhani unaweza kusema ni mvinyo ule ule ndani ya chupa mpya. Upya wa chupa hauugeuzi mvinyo uwe mpya. Dk….
Tafakuri ya miaka 20 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania
Mengi yamesemwa katika miezi minane iliyopita juu ya mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dk. John Pombe Magufuli (JPM) katika ukusanyaji wa kodi. Mara tu baada ya JPM kuchukua hatamu za uongozi tulishuhudia hatua mbalimbali zikichukuliwa baada…
Serikali za Mitaa ndio injini ya maendeleo
Mada ya Mzee Zuzu wa Kijiji Kipatimo juu ya: “Kuhamia Dodoma itawezekana kwa siasa zetu?” Naandika kuhusu maoni yako uliyotoa katika Gazeti la Jamhuri (Augusti 2 – 8, 2016). Umesema kwamba unakubaliana na dhana ya kuhamishia Makao Makuu ya Serikali…
Ndugu Rais umefanya vema kuwaonesha viongozi wa dini mipaka yao!
Ndugu Rais, siku ya kuoneshana shari imepita! Busara kubwa imetumika kuipisha siku ya kihoro! Lakini tukiendeleza hali hii, siku za aina hiyo zitakuwa nyingi huko tuendako! Hatujui wana busara kubwa kiasi gani, lakini kwa hili walioitikia ushauri wa viongozi wengine…
Wanahabari, wadau wa utalii tuwajibu Wakenya
Kwa muda mrefu nimekuwa na tabia ya kutazama luninga na kujisomea magazeti ya Kenya, si tu kwamba nijiongezee ufahamu wangu kama mwandishi wa habari, bali pia ni kutokana na ukweli wa kuwahi kufanya kazi na kampuni moja kubwa ya habari…