Category: Makala
Yah: Bado kuna umuhimu wa kukumbushana mambo ya msingi
Kuna wakati huwa nakumbuka jitihada za Serikali kutukusanya pamoja katika vijiji vya Ujamaa miaka ile ya operesheni sogeza vijiji, ili wananchi tupate huduma za jamii wote kwa pamoja zilizokuwa zikitolewa bure na Serikali, huduma za maji, elimu, afya na ulinzi. Operesheni…
Samatta kuitangaza Tanzania ughaibuni
“Kuwa mbali na umaskini, ni hali iliyo njema mno. Na afya kama haba mwilini, ni taabu haina mfano. Kuwa na rafiki sheriani, uborawe si wa mlingano. Hushinda fedha ya mfukoni isiyoweza kutenda neno. Na laiti si machukiano, tungalikuwa wote…
Ndugu Rais, tafuteni kwanza ufalme wa mbingu!
Ndugu Rais, tafuteni kwanza ufalme wa mbingu, ya dunia mtayapata kwa ziada! Tangu kutangazwa kwa Septemba mosi, nchi imekuwa ni ya mijadala isiyokwisha huku wapofu wakionesha nguvu zao. Mnagombania kuwatawala waja wa Mwenyezi Mungu kwa kudhani mnaweza kwa nguvu zenu!…
Rais Magufuli, kughairi si kushindwa
Mheshimiwa Rais, Nimechukua hatua hii ya kukuandikia waraka wa wazi nikiwa na kumbukumbu mbaya ya maafa yaliyotokea miaka 15 iliyopita. Januari 27, 2001 Chama cha Wananchi (CUF) kiliandaa maandamano ambayo Serikali ya wakati huo haikuyaridhia. Sote ni mashahidi kwamba…
Kusoma si kuelimika (1)
Serikali ya Awamu ya Tano sasa imekamilisha safu yake ya watumishi wa kuiendesha, Rais John Magufuli alichukua muda wa wiki/miezi kadhaa kabla hajateua wasaidizi wake na kuunda Baraza lake la Mawaziri. Baada tu ya kujenga Serikali yake kwa kuteua Mawaziri…
Mkaa: Hata misitu sasa inalia (1)
Siku chache zilizopita, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Profesa Dos Santos Silayo; na Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi wa TFS, Mohamed Kilongo, wametangaza mpango kamambe wa kuratibu biashara na matumizi ya mkaa nchini. Taarifa ya wataalamu hao…