Category: Makala
Burian Mpigapicha Joseph Senga
Mimi Benjamin Thompson Kasenyenda, nafsi yangu inakataa kuwa kweli Joseph Senga eti ametutoka. Lakini kiuhalisia ndiyo hivyo, ndugu yetu Senga ndiyo ameondoka. Kwa kheri mpendwa wetu. Mcheshi na mtu wa watu. Atakumbukwa na wengi na kwa mengi. Baadhi ni sisi…
Ndugu Rais wapiganie watu wake naye atakupigania
Ndugu Rais dhamira yako njema kwa nchi yetu na watu wake wanawema wote wanaiona. Ugumu uliopo mbele yako katika kutekeleza dhamira hiyo njema pia wanawema wanauona. Umesongwa na kuzingirwa kila upande. Umefanana na waridi lilisongwa na michongoma yenye miiba mikali…
Dk. Jane asimulia Sokwe wa Gombe
Jumanne Rashid ambaye mwaka 1960 alikuwa kijana mdogo, alikuwa Gombe, alimsaidia Dk Jane Goodal katika kutoa mizigo kwenye meli na kuandaa kambi kando ya Ziwa Tanganyika kwa ajili ya utafiti, kama ilivyoandikwa katika gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita. Dk….
Taasisi ya Moyo: Tumaini kwa Watanzania
Miaka kumi iliyopita Serikali imetumia Sh bilioni 2.5 kupeleka wagonjwa wa moyo kutibiwa nje ya nchi, hasa nchini India. Takwimu kutoka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, zinaonyesha kuwa kati ya Januari mpaka Juni 2016, Serikali…
Wasifia kituo cha Mwendokasi
WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wanaotumia kituo cha Mabasi cha Gerezani, Kariakoo kilichopo Wilaya ya Ilala wamevutiwa na mazingira bora ya kituo hicho, na baadhi wamependekeza magari ya mwendokasi yaende Mbagala, Ukonga, Mwenge na Buguruni. Wameitaka Serikali kuendelea…
“TUEPUKE SUMU HIZI”
Watanzania, ni watu wa amani, ni watu tunaojaribu sana kuishi kindungu na tuwatulivu. Kwa maana hiyo, nchi yetu imejipatia sifa moja nzuri sana. Tanzania inaitwa kisiwa cha amani humu barani Afrika. Ulimwengu unakiri hilo na tunastahili kujivunia hali hiyo. Nchi…