Category: Makala
Yah: Uteuzi wa viongozi wa awamu ya tano ni hapa kazi tu
Moja kati ya misingi ninayoamini mimi ni kwamba utumishi wa umma ni thamani na siyo utumishi wa moja kwa moja au kurithi. Mimi ni muumini wa demokrasia ya uongozi wa Taifa kwa maana ya kila mwenye uwezo apate nafasi alitumikie…
Vyombo vya umma vinasaidia umma?
Kama kuna nchi yoyote yenye vyombo vingi vya umma, basi nchi hiyo ni Tanzania. Shabaha ya vyombo vyote hivyo ni kumtumikia binadamu au kutumikia umma wa Tanzania. Lakini vyombo hivi vya umma vinasaidia umma? Na kama vinasaidia umma ni kwa…
Ndugu Rais atawalaye kwa upanga atakufa kwa upanga
Ndugu Rais, kwa unyenyekevu mkubwa naomba nikutume upeleke salamu. Nikutume unipelekee salamu zangu kwa mwanamwema Kassim Majaliwa, jina lake la kati silijui. Naujua sana ule wimbo wa ‘Njiwa peleka salamu’ lakini wewe si njiwa; nakutuma kwa sababu wewe ndiye baba…
Tusisahau historia hii (2)
Sehemu ya kwanza, mwandishi wa makala hii alisema katika mkutano wa Tabora mwaka 1958 wanachama wote wa TANU, mkutano mzima ule ulitaka UAMUZI wa KUSUSIA uchaguzi wa MSETO. Ni Mwalimu Nyerere peke yake aliyesimama kidete kwa utulivu (cool, methodical and…
Rais Magufuli asiwaogope manabii wa wakwepa kodi
Wakati wa kudai Uhuru, wapo Waafrika waliodhani mapambano yale yasingefanikishwa na Waafrika. Waafrika shupavu kwa pamoja na Wazungu na Waasia wachache walipounganisha nguvu kuutokomeza ukoloni, bado kukawapo watu walionekana kutofurahishwa na hatua ya kujitawala! Kwa kutofurahishwa huko, wakaamua kuwa vibaraka…
Yah: Demokrasia inaongozwa na sheria tulizojiwekea kikatiba
Wiki jana, niliandika juu ya nafasi ya kufanya mikutano ya kidemokrasia iliyopigwa marufuku muda wa kazi, niliandika kutokana na kumbukumbu mbalimbali za ujana wetu miaka ile dahari ya mfumo wa chama kimoja, ambapo tulikuwa na hiyari ya kuchagua jembe au…