Category: Makala
Wajibu wa Polisi usalama si woga
“Tekelezeni wajibu wenu bila ya woga. ( Makofi ) Katekelezeni wajibu wenu bila ya woga kwa kuzingatia sheria. ………Niwaombeni sana, vyeo vyetu tuviweke pembeni na sheria tusiweke pembeni. …….Mimi Rais wenu nipo pamoja na nyinyi.” Ni tamshi lenye upendo na…
VAT kwenye utalii: Ukweli na hasira
Nafanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa muda sasa; kwenye utalii unaotambulika kama utalii wa utamaduni na ingawa kuna masuala mengi bado najifunza kuhusu sekta hii kwa ujumla, naamini nimejifunza vya kutosha kuweza kuchangia mawazo yangu juu ya uamuzi wa…
Ijue sura ya uchumi Tanzania
Leo (wiki iliyopita) gazeti la Mtanzania limeripoti kufungwa kwa Hotel kadhaa za kifahari kutokana na sababu mbalimbali, lakini sababu kuu iliyotajwa ni hatua ya Serikali kuzuia mikutano yake kufanyika hotelini, badala yake ifanyike kwenye kumbi za Serikali na kudaiwa kodi…
Dk. Jane: Mtafiti aliyeipaisha Gombe
Umewahi kuwaza kuhusu binti wa miaka 26, kutoka katika nchi na bara lake na kwenda bara jingine katika kile kinachoitwa kutimiza ndoto zake? Ukikutana na Dk. Jane Goodall na kumuuliza swali hilo, jibu lake ni rahisi sana, ndiyo. Ni siku…
Upanuzi airport umeleta majanga
Habari Mhariri, Mimi ni mkazi wa Pugu, mmoja ya wapenzi wakubwa wa gazeti la Jamhuri linaloanzia wengine wanapoishia, naamini ni kwenye uwezo ndio maana sahihi ya kauli hii (uwezo wenu ni zaidi ya wale). Napenda kuwasilisha kilio changu, na…
Ndugu Rais, kwa neno lako nitatupa wavu
Ndugu Rais, sasa siyo tena kwa kificho, ni jambo lililowazi kuwa matumaini yaliyorejewa sasa yanaanza kuyeyuka. Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo giza linavyozidi kuingia. Watu japo kwa kunong’ona wanaanza kuulizana; tulichodhani ndicho, ndicho? Muhula wetu ni miaka mitano. Na huu…