Category: Makala
Mangula, Mutungi na Safari kutaneni
Wazaramo wana misemo mingi katika lugha yao. Kati ya hiyo ni msemo usemao “Wose tozenga ing’anda imwe, habali tugombele lumango?” Katika tafasii sahihi ya Kiswahili “Wote tunajenga nyumba moja, kwa nini tugombee fito?” Nyumba ninayo kusudia kuizungumzia ni nchi yetu…
Hatari za kukwea Mlima Kilimanjaro
Julai 18, mwaka huu mtu mashuhuri kutoka Afrika Kusini alifariki dunia baada ya kupata matatizo ya afya wakati akikwea Mlima Kilimanjaro. Huyu ni dereva wa magari ya mashindano na mtangazaji wa runinga, Gugu Zulu. Kifo chake kimezua mjadala juu ya…
‘Nateseka, walimwengu nisaidieni’
Simu yenye namba 0768 299534 inaita. Kwenye orodha ya namba nilizonazo haimo. Ni namba mpya. Napokea, na mara moja nasikia sauti ya unyonge ikilitaja jina langu. Bila kuchelewa anataja jina lake. ‘Naitwa Mangazeni, nipo hapa Butiama, naomba ndugu yangu unisaidie…
Ndugu Rais dunia hadaa ulimwengu shujaa!
Ndugu Rais, dunia imeshuhudua aliyemua Daudi Mwangosi kikatili akifungwa gerezani kwa miaka 15! Daudi Mwangosi hakuwa anaandamana! Alikuwa anatafuta habari! Kwa polisi wetu lile lilikuwa kosa kubwa ambalo lilimgharimu uhai wake! Kabla ya kuuawa Daudi Mwangosi alipigwa kinyama, alipigwa kijambazi,…
Tulipe kodi kwa maendeleo yetu
Awali ya yote naomba nichukue nafasi hii kwa kupitia Gazati hili la JAMHURI niweze kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye anatukrimia mema mengi katika maisha yetu ya kila siku. Naamini kwamba tunaweza kuyamudu maisha yetu ya kila…
“TUEPUKE SUMU HIZI” (2)
Katika kikao kimojawapo cha KAMATI KUU ya TANU, Sheikh Takadiri alidiriki kusema hivi “mtu huyu hatakuja kuwapendelea waislamu” (This man will never come to favour us, he would come to favouri his brethren); Mwalimu aliumizwa kwa mashtaka namna ile hata…