Category: Makala
Ushirikiano wa TANU na ASP kabla ya 1964 (3)
Serikali ya Tanganyika ilichukua msimamo wa kuwa kusaidia ASP baada ya mwaka 1960 na kabla ya mwaka 1964 kwenye uchaguzi Zanzibar. Tanganyika ilitaka kutoa msaada wa hali na mali kwa ASP ili ishinde uchaguzi wa mwaka 1961 na wa mwaka…
Mwafrika bado “Le Grande Enfante”
Enzi za ukoloni, Wafaransa walitawala zaidi nchi zile za Afrika Magharibi. Mtindo wao wa kutawala ulikuwa tofauti sana na ule wa Waingereza tunaolijua sisi huku Afrika Mashariki. Kwa Wafaransa waliwachukulia Waafrika wasomi kama wenzao ndiyo maana Waafrika wasomi waliweza kuwa…
Umoja wa dhati ni muhimu
Jumapili iliyopita wafanyakazi kote nchini waliadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi. Kitaifa ilifanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambako wananchi na wafanyakazi walikusanyika kuwakumbuka wafanyakazi duniani, waliokataa dhuluma na kukata minyororo ya mateso na kuweka misingi ya kudai haki…
Tujikomboe kutoka kwenye utumwa wa mawazo
Leo natafakari maana isiyo rasmi ya uzungu; maana ambayo hutumika sana kwenye matumizi ya kila siku ya lugha ya Kiswahili. Ni uzungu kama sifa ya kubainisha tabia nzuri ya binadamu miongoni mwa jamii. Siku kadhaa zilizopita, nilisimamisha gari pembeni mwa…
Waziri Kitwanga cheo ni dhamana
Katika kipindi cha mwezi mmoja sasa, Watanzania wameshuhudia sakata la Kampuni ya Lugumi iliyopata tenda Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kutokana na sakata hili kushika kasi, tumeweza kuona jinsi mkataba huo unavyosumbua viongozi wetu kimyakimya, huku Waziri wa…
Waliokula fedha za rada watumbuliwe
Wakati wa Serikali ya Awamu ya Nne nilijitahidi kuyapigia kelele masuala mbalimbali ya elimu. Lakini hayupo aliyejali lakini hali hiyo haikunikatisha tamaa. Namkumbuka vyema William Wilberforce, yule mbunge wa Bunge la Uingereza. Huyu hakuchoka kupigania Uingereza ipitishe sheria ya kukomesha…