JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ufisadi hauwezi kutenganishwa na CCM

Sisi sote tunajua na tunakubali kwamba Rais John Magufuli ni mchapakazi. Alijibainisha kwamba ni mchapakazi tangu alipokuwa waziri. Wizara yoyote aliyoshika Dk. Magufuli haikusinzia wala haikulala. Na hakuwahi kuitwa ‘waziri mzigo’. Lakini pamoja na ukweli wote huo, ni ukweli pia…

Kanisa na Maisha ya Watu

Tatizo la kweli la dunia ya leo si umasikini; maana tunao ujuzi na amali zinazotuwezesha kuufuta umasikini. Tatizo lenyewe hasa ni mgawanyiko wa binadamu katika tabaka mbili – tabaka ya matajiri, na tabaka ya masikini.  Jambo hilo ndilo linaloleta matatizo,…

Sokwe hatarini kutoweka (1)

Kwa mara nyingine tena naomba nichukue fursa hii kwa niaba ya wasomaji wa makala hii, nimshukuru Mwenyezi Mungu ambaye kwa rehema zake nyingi anatujaalia afya njema na uhai usioweza kulinganishwa na kitu kingine katika dunia tunamoishi.  Kwa vyovyote vile, uhai…

Wanamwogopa Rais Magufuli, au?

Moja ya mambo yanayowashangaza kama siyo kuwatatanisha Watanzania wengi tangu utawala huu wa awamu ya tano uingie madarakani, ni hii kasi ya utendaji kazi inayooneshwa na viongozi mbalimbali ndani ya Serikali kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya kijiji. Kinachowashangaza…

Ukombozi wa fikra kwa Watanzania

Siku moja mwanafalsafa Socrates aliwasha taa mchana kweupe na akaenda nayo kwenye soko la Athenes, kule Ugiriki. Pale sokoni wananchi wengi walimshangaa sana Socrates wakamuuliza; kwa nini amewasha taa sokoni wakati ni mchana na mwanga wa taa yake wala hauonekani…

Barua yangu kwa Profesa Ndalichako (2)

Sehemu ya kwanza ya mfululizo wa makala hii, mwandishi alisema ni vyema serikali ikashauriwa juu ya hatari  iliyo mbele yetu ya elimu inayotolewa sasa kama haitachukuliwa mikakati ya dhati na makusudi ili  kuibadilisha na kuirudisha katika hali ya elimu ya…