Category: Makala
Vyombo vya habari tujipime na kujitambua
“….Lakini niwaombe viongozi pia na Watanzania wote. Ninajua mmetupima sisi katika siku 100. Inawezekana mnatuonea pia. Kwamba siku mia moja za Magufuli, siku mia moja za Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, siku mia moja za Mawaziri na kadhalika. Mmesahau nyinyi…
Yah: Utii bila shuruti dhana ngumu Tanzania
Mwaka 1973 hadi 1974 tuliamrishwa tuishi pamoja katika Vijiji vya Ujamaa, lengo likiwa ni kusogeza huduma za jamii kama zahanati, shule, maji na maendeleo kwa ujumla wake, karibu kwa wananchi wote. Lilikuwa jambo gumu kukubaliana hasa ukizingatia kuwa uwezo wetu…
Je, unahitaji ‘NGO’? Fahamu utaratibu wa kusajili
NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. Kawaida Serikali huwa ina mashirika yake, kwa mfano Shirika la Bima, Shirika la Nyumba, Shirika la Umeme, mashirika ya vyakula n.k. Tunapozungumzia NGO…
Serikali isijaribu kuua Tiba Mbadala
Kwa miezi miwili sasa kumekuwa na msuguano kati ya waganga wa tiba asili na tiba mbadala na mamlaka za Wizara ya Afya, Maendedeo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Wizara ya Afya imetoa matamko mawili ambayo yote yalipingwa na Matabibu…
Siku 100 Wizara mbili zilikuwa wapi?
Majuzi Rais Dk. John Pombe Magufuli alitimiza siku 100 tangu alipoingia madarakani Novemba 5, mwaka jana. Watu wengi wamejitahidi kuchambua utendaji wa Rais Magufuli katika siku hizo 100. Ingawa hawakukosekana watu waliomkosoa, wengi wamesifu utendaji wake katika kipindi hiki. Karibu…
Rais Magufuli na maslahi mapana ya Taifa (1)
Kwa rehema na mapenzi yake Mwenyezi Mungu, Tanzania ilikamilisha Uchaguzi Mkuu tarehe 25 Oktoba 2015 kwa kumpata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani. Kwa upande mwingine, uchaguzi huo haukwenda vizuri kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi…