Category: Makala
Mwenyekiti alivyoitafuna Halmashauri Ukerewe
Dhana ya kupambana na ufisadi inahitaji jicho la ziada kutokana na watumishi wa umma kutumia fursa wanazopata kujineemesha nje ya utaratibu rasmi wa kiserikali, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI, umebaini. Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imeingia katika mgogoro mkubwa, baada…
ATC ni zaidi ya biashara (1)
Watanzania wamelipokea kwa furaha tamko la Rais John Magufuli kuamua kulifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) lililopotea kwa miaka zaidi ya miaka 16 sasa. ATC ilianzishwa mwaka 1977 baada ya shirika la ndege la East African Airways (EAA) kuvunjika kutokana…
Madeni ya Taifa na mchakato wake (3)
“Kama ingelikuwa ni baina ya watu wawili binafsi (wanakopeshana fedha), na si kati ya mtu binafsi na benki, basi wasingeliweza kuongeza fedha za kwenye mzunguko wa taifa kwa mkopo, kwa sababu mkopeshaji asingaliweza kukopesha kitu ambacho hana, kama ambavyo mabenki…
Je, Kikwete atafanikiwa mgogoro wa Libya?
Februari mosi, mwaka huu tulitangaziwa kuwa Rais (mstaafu) Jakaya Kikwete, ameteuliwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa mwakilishi wake katika kusuluhisha mgogoro wa Libya. Uteuzi huo ulifanywa mjini Addis Ababa katika kikao cha wakuu wa nchi za Afrika, naye Kikwete…
Kwa hili sote tu wadau (4)
Ilipoishia wiki iliyopita: Upinzani mzuri ni ule unaokosoa huku ukiwa na mpango kamili ya sera mbadala ya maendeleo ya Taifa. Kwa maana hiyo bungeni panakuwa na mawaziri wa Serikali kivuli (shadow government with its shadow Cabinet). Endapo Serikali iliyoko madarakani…
Rais Magufuli angazia mafuta ya mawese
Wiki iliyopita, Rais John Magufuli, alitangaza utaratibu mpya wa uingizaji sukari nchini. Uamuzi huu unalenga kulinda viwanda na ajira kwa Watanzania. Ni uamuzi mzuri kabisa. Baada ya kumsikiliza, na kwa kuwa lengo ni kuwalinda wakulima wetu, ajira kwa vijana na…