JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Kwa utaratibu huu, rais aliye bora atapatikana kweli?

Nafuatilia kwa karibu matamshi na maandishi ya makundi mbalimbali ya kisiasa yanayounga mkono wagombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Mahususi ni kusisitiza kwao sifa za msingi za mgombea urais. Napata maswali mengi, majibu machache.   Kwa sababu ya…

Historia itaihukumu CCM Oktoba

Ninaanza mada hii kwa kuyanukuu maneno ya Fulton J. Sheen aliyekuwa Askofu wa Kanisa Katoliki huko Marekani. Alinena; “Usiogope kukosolewa kama upo sahihi, na usikatae kukosolewa kama hupo sahihi.”   Kwa sababu ninakwenda kuzungumzia mustakabali wa Taifa letu, inanilazimu kukosoa…

Kaaya abisha hodi Arumeru

Elirehema Moses Kaaya ni mwanasiasa asiyekata tamaa. Ni kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) anayeamini katika falsafa, itikadi, katiba na imani ya chama hicho japo anakerwa mno na masuala yanavyokwenda ndani ya chama hicho tawala na kikongwe nchini.  Amegombea ubunge…

Wa kuiokoa CCM ni Lowassa

Utafiti nilioufanya kwa takribani miaka miwili kuanzia Aprili 2013 hadi sasa juu ya hali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), nimebaini mambo mengi, lakini kwa makala ya leo nitagusia tu aina ya kiongozi atakayefaa kukiongoza baada muhula wa Rais Jakaya Kikwete…

Huu sasa ni mparaganyiko

Ningali nakumbuka siku niliposikia neno hili “MPARAGANYIKO”. Mara ya kwanza, sikulielewa. Ilikuwa mwaka 1979 kama mwezi Aprili hivi, nikiwa nafanya kazi Visiwani Zanzibar katika vikosi vya SMZ.   Niliwajibika kuwamo katika misafara ya ziara za Rais visiwani. Siku ya siku, kulikuwa…

Serikali makini haiwezi kusarenda

Nilipomuona Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudence Kabaka, akitengua uamuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) wa kuwataka madereva kurejea darasani, nilishangaa. Nilikuwa miongoni mwa tuliopigwa na bumbuwazi kwa uamuzi huo, ingawa walikuwapo mamia kwa maelfu…