Category: Makala
FASIHI FASAHA
Vyama vya upinzani ni vichanga? -4
Katika sehemu ya tatu ya makala haya wiki iliyopita, nilizungumza uchanga wa vyama vya siasa na malengo yao. Pia niligusia kauli iliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa Uchaguzi Mkuu 1995 kuhusu uwezo wa vyama vya upinzani kushinda katika uchaguzi mkuu wa 2015. Leo tunaendelea…
Hivi tunavyozungumza CCM na vyama vya upinzani kila kimoja kimo katika harakati ya kupanga mipango ya kushinda uchaguzi huo. CCM itafikisha miaka 38 na baadhi ya vyama vya upinzani vitafikisha miaka 23. Hapatakuwa tena na suala la uchanga wala watoto. Labda suala la utoto!
FIKRA YA HEKIMA
Kagame, Museveni, mkataa wengi ni mchawi
Ndoto za Rais wa Rwanda, Paul Kagame, na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kutaka kuzitenga nchi za Tanzania na Burundi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeyeyuka.
Sasa ushindi uko mikononi mwa UTATU MWAMINIFU (Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya).
Kibanda alistahili Tuzo ya Mwangosi
Ni siku ya historia ya pekee hapa Tanzania, siku ambayo mwandishi wa habari Absalom Kibanda na mjane wa Daudi Mwangosi, Itika, wamemwaga machozi mbele ya umati wa waandishi wa habari ukumbini.
EFD kuongeza mapato ya Serikali wapiga kura
Serikali imeamua kuanzisha mfumo wa uotoaji risti kwa kutumia Mashine za Kielekitroniki za Bodi (EFD). Kwa mujibu wavuti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mfumo huo unachukuwa nafasi ya mashine za rejesta za fedha ambazo zimekuwa zikitumika zamani.
Mashine hizo hazikukidhi mahitaji yaliyotarajiwa ikiwa ni pamoja na kurahisisha mauzo kwenye sehemu za biashara.
Mteja na Sayansi ya kununua
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wa gazeti hili, pamoja na wapenzi wa safu hii. Kwa takribani wiki nne sikuwapo hewani kutokana na sababu kadhaa ikiwamo kutingwa na shughuli za kiujasiriamali.
Gesi yabadili utamaduni Mtwara
Wiki hii Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (pichani), amefanya ziara ya siku tatu mkoani Mtwara kuangalia maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi. Nimepata fursa ya kuwamo kwenye ziara hii. Nimeshuhudia mengi.
- Wananchi Stand ya zamani Kondoa mjini wakishiriki upigaji kura
- RC Kagera apiga kura, awahakikishia usalama wananchi
- Balozi Dkt. Nchimbi ashiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais, mbunge na diwani
- Waziri Ndumbaro apiga kura, apongeza utulivu na amani
- Hali ni shwari Pwani, wananchi waendelea kupigama kura kwa amani
Habari mpya
- Wananchi Stand ya zamani Kondoa mjini wakishiriki upigaji kura
- RC Kagera apiga kura, awahakikishia usalama wananchi
- Balozi Dkt. Nchimbi ashiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais, mbunge na diwani
- Waziri Ndumbaro apiga kura, apongeza utulivu na amani
- Hali ni shwari Pwani, wananchi waendelea kupigama kura kwa amani
- Dkt. Mpango ashiriki zoezi la kupiga kura
- TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kwa baadhi ya mikoa
- Dk Samia : Serikali imefanya mageuzi makubwa ya kisheria na kurejesha imani kwa sekta binafsi
- Serikali yaihakikishia CWP uchaguzi huru, haki na wazi
- ‘Dk Samia anastahili kura za ndio’
- Siku 100 za Bima ya Afya kwa wote
- Wasira asema Samia ameweka utaratibu Serikali,vyama vya siasa kuteta
- Kwa nini Watanzania watajitokeza kwa wingi kushiriki kupiga kura?
- Nchimbi: Watanzania wameridhika na utendaji wa Rais Samia
- Kamati ya siasa amani Pwani yaviasa vyama vya siasa visiwe chanzo cha vurugu