Category: Makala
marufuku na madhara yake
TFDA yataja ilivyoruhusu nchini
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeendelea kupiga marufuku vipodozi vyenye viambato (ingredients) vyenye sumu inayoathiri afya ya binadamu.
Mfuko wa Pensheni wa PPF unaozidi kukua kwa kasi
OKTOBA 2, mwaka huu Mfuko wa Pensheni wa PPF ulifanya mkutano wa 23 wa mwaka wa wanachama na wadau ambao uliofanyika mkoani Arusha.
Ni wakati wa Tanganyika kuachana na Zanzibar?
Alhamisi, Septemba 26, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Shariff Hamad, alizungumza na watu wanaodaiwa kuwa ni Wazanzibari wanaoishi Tanzania Bara, jijini Dar es Salaam.
JAMHURI YA WAUNGWANA
Rais dikteta atatutoa hapa tulipo
Taifa lipo njia panda. Sheria hazifuatwi. Kila mmoja wetu anataka afanye au afanyiwe lile analotaka. Masikini wanazidi kuumia. Lakini kwa nafasi zao, nao wameamua kufanya kila wanaloweza alimradi nao wasiwe nje ya mparaganyiko huu.
Nyerere muumini wa ujamaa aliyetutoka
Ni miaka 14 imepita tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alipofariki dunia Oktoba 14, 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, London, nchini Uingereza.
Heri akina Sipora wanaomuenzi Mwalimu Nyerere kwa vitendo
Kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kila mwaka inapofika Oktoba 14, sasa ni fasheni.