Category: Makala
Tusisukumwe na hoja za kisiasa kujitoa EAC
Katika dunia yetu ya leo ya utandawazi, suala la nchi yoyote duniani kubaki kama kisiwa halipo kabisa. Maendeleo katika teknologia ya mawasiliano yameifanya dunia yetu igeuke kuwa kijiji kimoja.
FASIHI FASAHA
Vyama vya upinzani ni vichanga? -3
FIKRA YA HEKIMA
Bunge likipata Lugola 10 litainyoosha Serikali yetu
Ninatamani kuona siku moja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linafanikiwa kuwa na angalau wabunge 10 aina ya Alphaxard Kangi Ndege Lugola, ambao watatosha kuinyoosha Serikali yetu.
Mambo muhimu kuanzisha biashara -2
Katika toleo lililopita mwandishi wa makala haya alieleza jinsi mfanyabiashara anayeanza kufanya biashara anavyoweza kulipa kodi yake ya mwaka sasa anatoa mfano jinsi ya utaratibu wa ulipaji wa kodi hiyo endelea
MAANDIKO YA MWALIMU NYERERE
Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (5)
Huu ni mtiririko wa maandishi yaliyomo kwenye kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania kilichoandikwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwaka 1994. Sehemu iliyopita, Mwalimu alisema, “Ni vigumu kuelewa kwa nini watu walio tayari kuwabebesha wananchi mzigo wa SeIikali tatu za kudumu, wanahofu gharama za kura ya maoni ya mara moja! Na kama viongozi wetu ni wapumbavu kiasi cha kwamba hawawezi kutunga swali “Je, unataka Serikali tatu?” Au “Je, unataka Serikali ya Tanganyika?” Kazi hiyo wangeweza kuwaachia wataalamu wenye uwezo zaidi.” Endelea…..
Kwa kutambua kwamba Bunge linafanya uamuzi yake kwa njia ya kura baada ya mijadala ya wazi, Serikali iliona kwamba hoja yoyote kati ya hizi ingewasilishwa bungeni, ingeweza kuligawa Bunge, kukigawa chama chetu na kuwagawa wananchi katika suala zito kama hili la Muundo wa Muungano.
Serikali sikivu inafitiniana, inafitinika
Utawala wa Serikali sikivu chini ya chama tawala unaendelea kuwadhihirishia Watanzania kuwa umefitinika na sasa kila kiongozi anadunda na lake na kauli zake na maagizo yake, bila kujali kuwa uamuzi wao kwa upande mwingine unawaumiza Watanzania ambao kila siku wamekuwa wanasifiwa kuwa Serikali yao sikivu inawasikia.
- Wizara ya Fedha kuendelea kuboresha miongozo inayolenga kuimarisha ukaguzi
- Mradi wa umeme Simiyu kufungua fursa za uwekezaji na kuchochea shughuli za kiuchumi wananchi
- Somalia yaona ufanisi mkubwa wa FCC katika kulinda soko
- Neema ya Uwekezaji wa Kiwanda cha Kuchakata Madini ya Mchanga wa Baharini
- NYANDUGA: Demokrasia Halisi Haiwezekani Bila Kukomesha Matatizo yanayosababisha Chuki katika Taifa
Habari mpya
- Wizara ya Fedha kuendelea kuboresha miongozo inayolenga kuimarisha ukaguzi
- Mradi wa umeme Simiyu kufungua fursa za uwekezaji na kuchochea shughuli za kiuchumi wananchi
- Somalia yaona ufanisi mkubwa wa FCC katika kulinda soko
- Neema ya Uwekezaji wa Kiwanda cha Kuchakata Madini ya Mchanga wa Baharini
- NYANDUGA: Demokrasia Halisi Haiwezekani Bila Kukomesha Matatizo yanayosababisha Chuki katika Taifa
- Dar es Salaam yazindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula
- Waziri Masauni aitambua NEMC kama mlezi wa Green Summit
- NCAA yawapiga msasa Malaigwanani
- Makandarasi watakiwa kufanyia kazi maagizo wanayopewa kabla ya El Nino
- Taasisi ya OMDTZ yawezesha kata tano kuwa na mipango ya kukabili mafuriko Dar
- Prof. Shemdoe aweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa Lindi
- Darling yakuza mitaji ya wasusi
- Wahitimu wa vijijini wahimizwa kuomba ufadhili wa Nuru Yangu
- Dk Mwigulu : Mfumo wa ununuzi pamba ujulikane ndani ya mwezi mmoja
- Rais wa Barcelona atuma salamu za pole kwa Rais Samia